@chawamata_tv: VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Mlalo kupitia chama cha CCM, Rashidi Shangazi amesema pamoja na Jeshi la Polisi kuboresha eneo zima la usalama barabarani, ni lazima kutambua kwamba madereva walio wengi hawana mikataba ya kazi. Akizungumza Bungeni leo wakati wa kuchangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, amesema madereva wengi wanategemea jasho la kila siku ndipo maisha yao yaende. Amesema kwa madereva wanaofanya mchakato wa kuhuisha leseni baada ya muda wake kuisha, kumekuwa na ucheleweshaji wa zaidi ya mwezi mmoja kupata mafunzo hayo jambo ambalo linawasumbua sana. Aidha, Shangazi amesema mafunzo hayo ni muhimu sana lakini ni bora nguvu kubwa zaidi ikawekwa kwa wale wapya wanaotafuta kuingia kwenye kazi hiyo ya udereva. Ametumia nafasi hiyo pia kuliasa Jeshi la Polisi kukaa pamoja na wadau wa vyombo vya moto kupitia vyama vyao kama TATOA, TAMSTOA na TABOA, akisisitiza umuhimu wa waajiri kuwa na mikataba rasmi na madereva. Amesema kitendo cha dereva kufanya kazi bila mkataba ni hatari sana, kwani wapo wanaosafirisha mizigo yenye thamani kubwa lakini wanaweza kupigiwa simu na mwajiri na kuambiwa waache gari njiani huku mtu mwingine akipelekwa kulichukua. Shangazi ameitaja sekta ya udereva kuwa ni moja ya sekta zilizoajiri watu wengi sana na kama ajira hizo zingekuwa rasmi, Serikali ingeweza kupata mapato zaidi kupitia kodi. Akimalizia, amegusia suala la mafao kwa madereva baada ya kustaafu, akisisitiza wawekwe kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ili nao waweze kuishi kama wafanyakazi wa sekta nyingine. Shangazi ameendelea kuonyesha mchango wa dhati katika sekta ya udereva akiwa na kiu pamoja na shauku kubwa ya kutaka kuwasaidia madereva wa Tanzania. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ #TeamChawamata #SupportLocal #MadeInTanzania #RoadTo100K #instagramtanzania

CHAWAMATA TV
CHAWAMATA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 25 May 2026 10:19:57 GMT
122848
6964
269
439

Music

Download

Comments

sure_boy26
Sure_boy26 :
Mtu wa maana kabisa huyu
2026-05-25 14:06:43
61
kaka.tz56
NGOSHA 🔥🔥TZ 🇹🇿🔥🔥 :
mambo yameanza kunoga Sasa 🤲
2026-05-25 11:09:21
37
user6797781299430
360 :
mungu akupe afya mzee
2026-05-25 15:31:45
18
feisaly0
feisaly :
mungu akuweke sana ww
2026-05-25 10:29:32
13
robert.emanuel93
Legend… :
Hongera sana mh mbunge.
2026-05-25 17:12:00
6
user3196071791817
Idd Mahaba 💗 :
Ahsante 🎙️studio Mambo yanaanz kunoga ss
2026-06-16 15:37:57
3
user9981708796226
Moshi dotto :
Asnte sana Baba yetu kakuliona hilo Mungu akupe maisha marefu sana 🙏
2026-06-17 02:33:54
3
bahatisunzupaulo
Bahati Sunzu paulo :
safi sana 100000%
2026-05-25 15:27:15
6
tanzania951
DARALI MUWAMINIFU BAGAMOYO :
mtu wa nguvu xana uyu baba Asante baba🥰🥰🥰🥰
2026-05-27 08:05:59
8
brayvan159
Brayvan :
Mambo ndio haya Sasa
2026-06-08 15:40:35
0
alfanisufiani
A :
kweli mkuu
2026-05-25 12:08:57
4
user15104224191804
raphael :
asante sana utusemee
2026-05-25 19:18:23
1
faustine.magobe
Faustine Magobe :
mungu akulide san huko uliko
2026-06-23 07:06:19
1
user3427334666086
Emmanuel Igendezi :
nimependa hiiyo wewe ni mtu wa nguvu sana
2026-05-30 17:38:31
2
josephkamili.gwan
Jose Paroko :
Barikiweee
2026-05-25 11:29:46
4
herman.james52
EKH628🇹🇿🇹🇿 :
Mia tena
2026-05-25 15:29:02
2
fredy.daudy2
FREDY BOY💙❤💙TZ :
Rispect
2026-05-25 19:18:15
1
user9981708796226
Moshi dotto :
Saf sana Mheshimiwa mwenyezi mungu akupe afya njema kwa kutupambania Ma dereva🙏
2026-05-25 15:16:47
8
prezy.dar
prezzy Dar :
respect
2026-05-25 11:56:05
5
wamlevimasaka
wamlevimasaka :
Asante kaka agiza jambo power
2026-05-25 17:30:49
3
klw732
KANGEMI BRYTONIC :
msemaji wetu sasa ndiyo huyu mwamba, mtu wa maana sana
2026-05-26 05:47:48
4
user2298187345373
Muddy Omary :
mambo nimoto ss
2026-05-25 11:12:30
4
charlesmmbaga111
Charles Mmbaga :
Mh.unatupambania sana Mungu akulinde ktk majukumu yako
2026-05-28 14:19:37
3
wizzo288
@Wizzo😎💪 :
nakubali mbunge🫡
2026-06-04 16:13:27
1
rajabu.selungwi
Chelu Boy :
Mungu akupe hitaji la moyo wako
2026-05-25 16:55:29
1
To see more videos from user @chawamata_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

‎💥 المنتج اللي داير بوم في السوشيال ميديا وصل دابا عند بونديف! 💥 ‎السلام عليكم عائلة بونديف العزاز ❤️ كيفما عودناكم ديما، غير تشرطوا علينا وحنا نجيبو لكم الطوب! اليوم وفرنا لكم المنتج اللي مراكش وكازا كاملة كتهضر عليه وديما كتسولونا عليه: MatiClean 🧼✨ ‎هاد المنتج 3 في 1 (3en1) ماشي غير مسحوق عادي، هذا همزة ديال بصح اللي غتهنيكم: * اقتصادي بامتياز: العبوة الكبيرة كتوفر لكم حتى لـ 105 غسلة، يعني الغسلة غتطيح عليكم بأقل من 50 فرانك!💸 * حماية قصوى ونظافة مثالية: كيحمي الألوان من البهتان ويخرج الحوايج كيشعلو بلا طاش وبلا مجهود. * روائح خيالية وثابتة: متوفر حالياً بـ 3 د الأنواع د العطور الفواحة (Oceánico 🌊 ،Marseille 🧼، و Lavanda 🪻). ‎✨ كلمة حق: كنوجهو تحية كبيرة للسيدة مولات هاد المنتج، بنت الناس والمكافحة اللي وقفات على هاد البرودوي الوعر وقادات ليه كاع لي ليرخص ديالو باش يوصل لكم بهاد الجودة العالية. ‎السلعة دابا راها متوفرة بالكونتيتي في المحل، واللهم بارك المحل كامل ولى MatiClean! ‎📍 بونديف: تهلاو في النقا والأناقة ✨ مرحبا بكم، للطلب أو الاستفسار صيفطو لنا رسالة في الخاص 📲 #creatorsearchinsights #تنظيفعميق #virale #cleaning #تنظيف

About