@afya.care.kwanza: ⚠️ MAKOSA 3 YANAYOONGEZA VIDONDA VYA TUMBO ⚠️ Watu wengi wanahangaika na maumivu ya tumbo, kiungulia na gesi bila kujua kuna tabia wanazifanya kila siku zinazoongeza vidonda vya tumbo 😢 ❌ 1. Kuruka milo au kukaa njaa muda mrefu Tumbo likikaa tupu kwa muda mrefu, acid huendelea kuzalishwa na inaweza kuharibu ukuta wa tumbo zaidi. Hali hii huongeza maumivu, kiungulia na vidonda. ❌ 2. Kutumia dawa hovyo bila ushauri Matumizi ya mara kwa mara ya dawa kama painkillers yanaweza kuathiri ukuta wa tumbo na kuongeza vidonda bila wewe kujua. ❌ 3. Kula vyakula vinavyochochea acid Pilipili nyingi, vyakula vya mafuta mengi, soda, kahawa na kula usiku sana vinaweza kuongeza acid tumboni na kufanya hali kuwa mbaya zaidi. 🚨 Ukiona dalili kama: • Kiungulia cha mara kwa mara • Maumivu ya tumbo • Gesi nyingi • Kichefuchefu • Moto kifuani au kooni Usipuuze mapema. 📩 andika neno TUMBO nikutumie ushauri sahihi mapema kabla hali haijawa kubwa zaidi.#VidondaVyaTumbo #AcidReflux #Kiungulia #AfyaYaTumbo #Hpyroli