baba zetu walifanya mistake hapo tu.
eee mungu nisaidie ni socialize na wanangu🥰
2026-05-26 04:38:48
53
Familia :
Sas broo baba ndoanatakiwa kuwa ivo yan mshukuru san mungu kwa kuwa na baba wa ivo
2026-05-26 06:15:41
12
Spencer Jeremiah :
I FEEL HIM.
2026-06-06 16:22:21
0
anice :
Baba yangu ni baba bora sana tunaweza kuongea ata siku nzima nakupenda baba
2026-05-26 06:23:55
15
amjessy :
Mm na mama angu🥲
2026-05-27 19:43:44
0
judithmvungi88 :
mi namshukuru mungu baba yangu alikua bora sana kwangu tangu afariki ana mwaka sasa lakini moyo wangu bado hautaki kuamini kama hayupo ule ukaribu wake ndio unaishi hadi sasa
2026-05-27 14:35:22
0
The chosen 1 :
Tuko wengi aisee nlijua ni tatizo kumbe ni kawaida mweeh😂😂😂 ani mie na baba hatuna urafiki kbsaa zaid y salam
2026-05-25 19:05:05
14
thomas :
Same applies to bro
2026-05-26 02:14:37
1
geo_17 :
tupo wengi🤝
2026-05-26 17:59:14
1
ajay boy :
me na Mzee wangu ni kama general na kanali tuna ukaribu sana ila story za kizembe hamna ni mwendo wa maelekezo
2026-05-26 15:45:45
9
Bingwa.artist :
dah true the same to me
2026-05-25 22:12:07
3
Inocent Mhina :
mzee wangu ni rafiki yangu story kama zote
2026-05-26 18:23:24
2
Prosper Ramson :
Kunae Mwamba Kwanza Ananiitwaga Bwana Mdogo😂 Sema Mshua Wangu Namkubali Sana, Mungu Muweke Mzee Ramson Kamele🫡
2026-05-27 16:08:02
1
Kelvin Hosea :
lakini ana kupenda. Kila Baba ana mupenda mtoto wake
2026-05-26 00:54:13
4
sise :
HUYO NI MIMI BUT NAMPENDA BABA ANGU SAANA NA ANIPENDA
2026-05-26 12:43:12
3
zadock bwavi :
Tuko wengi kabisa🤣
2026-05-26 09:19:51
1
Miss grateful8♍ :
Baba yangu anamadhaifu mengine ila kwenye kupiga stori mpaka tunasahau kama ni baba🥰🥰🥰
2026-05-26 07:40:12
4
muuh.ruiz :
Hata mm
2026-05-25 22:33:11
2
brooch_queen :
I hear the pain in his voice
2026-05-26 14:28:34
1
😼سعيد𓃭 :
Kweli
2026-05-25 16:10:43
2
Chimwemwe :
nakuelewa
2026-05-25 16:05:02
2
Zingo🎤 :
tuko wengi, promised myself to be different to my gen,
2026-05-26 14:01:15
1
David :
atar
2026-05-25 19:32:59
1
petriot6 :
💯💯💯💯💯kweli kabisa
2026-05-25 18:53:13
1
To see more videos from user @dearbabapodcast, please go to the Tikwm
homepage.