alaf unasikia pastor anasema usicheke sikiliza ujumbe tu🙌🙌,Mimi sitoweza
2026-05-26 11:11:32
504
spero195 :
wanuuuuuuu, wasuuuuuu, waziiiiiiiiii me as back voice
2026-05-26 10:52:49
106
uzazi na madam_love :
yani kuna sauti inanipa rahaa🤣🤣
2026-05-26 11:27:54
104
URBAN ELEGANCE :
Nimeamua kuhamia huku maaana Facebook wana nilazimisha ni Type Amen au nife🥺
2026-05-26 15:29:16
67
nillam :
Kumbe Uncle T katolea huku ujuzi wa kuimba😂🙌
2026-05-26 14:33:02
107
nyangeta Kubigwa :
😂😂😂 Huku nikutafutiana dhambi 2
2026-08-01 08:54:17
2
Binti wa mfalme😇💃🥳 :
Kama umecheka barikiwa sana😂
2026-05-26 18:42:28
24
SUNSHINE Day care :
Alieimba sauti ya kwanza anyooshe kidole tafadhali kuna zawadi yake🥰🥰🙏
2026-05-26 14:10:18
13
yesse daughter :
oya wana mnajiamulia mambo kwel😇
2026-05-26 12:09:55
13
merry 🥰💃👌 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hii kwaya iko wapi jaman
2026-05-26 12:33:55
10
Intropact 🤫🤔🫡 :
Moja kwa moja situtus
2026-05-26 12:26:04
15
KLAUS :
Vijana kwa kujiamulia mambo
2026-05-26 18:03:16
13
Officalshakespear🧠 :
Habar wanaTiktok..
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-05-26 23:08:10
5
viorel jesca 23 :
Sasa ndo mnichambe kisa kuacha kuimba 😂
2026-05-26 13:20:39
10
charmingqueen11 :
moja kwa moja status😂😂
2026-06-27 19:02:59
0
la vie♥️🔐 :
huuu wimbo nao mmmh mbn matendo yang haya 🥹🥹🥹
2026-05-26 06:00:37
7
Jamila 💃❣️💖💯 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tiktok can heal every pain in 1sec
2026-05-27 17:12:00
6
Pretyy_mih :
mpo vizuri😁
2026-06-14 15:08:56
1
restshine 💥 :
🤣🤣🤣 naomba kujiunga na hii kwaya jaman
2026-07-05 20:04:26
1
official_mtawala :
nitakodisha hii kwaya siku ya Birthday ya Mke wangu
2026-06-17 18:31:07
3
hellen🍎🍎 :
ina mipasho kama nyimbo ya adija kopa
2026-06-11 11:07:15
5
Jay :
10 nalipa
2026-05-26 18:19:39
2
To see more videos from user @mkembo255, please go to the Tikwm
homepage.