🥹 Alhamdulillah love you baba wangu Allah awape ummri wazazi wetu na walotangilia Allah awape pepo na waingeaji wema 🤲🏼😥
2026-05-26 04:52:30
60
cholo :
Allah amtakabalie Maombi yake Inshallah
2026-05-26 04:31:15
37
mohd abdalla :
Ya Rabbi wape nguvu wazazi wetu🤲
2026-05-26 13:31:55
14
Kautharbembela✨ :
Allah awarehemu baba zetu waliotanguliaa Awajaalie noor makaburi yao Awajaalie pepo firdaus yawe makazi yao😭😭🤲🏼🤲🏼.Na wazazi waliobakiaa Allah awalipe duniani nakesho Akhera yarrab😭🤲🏼
2026-05-26 20:30:15
7
nanah🤍🫂 :
ya Allah wahifadhi baba zetu na uwajaalie riski za halali in sha Allah 🥺🤲🏼
2026-05-26 08:58:52
14
Å77Zinjibar🇦🇪🩷🇹🇿 :
subhana allah 🥺
2026-06-04 06:23:17
2
ibrah1999 :
ya Allah (s.w) naomba wawe ni miongon mwa watu wa pepon ya Allah 🤲🤲🤲
2026-05-31 19:01:37
3
KESSY♻️KIHERO📚🫀⚽ :
Allah awalpe kheri wazaz wote wallah be hind wamenya mengi ktk jitahada zao kuhakikisha family zao haziteteleki wallah Allah awahifadhi♥️🤲🤲
2026-05-26 03:55:41
11
Eisheerclassic :
yarabb mtakabalie Dua zake mpe kheir katika analohitajia ...🥺 amiin
2026-05-26 17:05:11
8
JB dully :
kwa hakika wazazi wanapitia mengi xn Ya Rabi Takabal duaaa
2026-05-28 04:55:27
3
Sammy :
Ni Yeye Na Allah🥺🥺
2026-05-26 11:04:16
4
al_brashdiyah :
Allah awape nguvu na subra, awalipe ujira ulio bora na pepo ya darja ya juu.
آمين يارب العالمين
2026-05-30 07:04:15
3
user9078170729350 :
Allah awape nguvu na subra🥰
2026-05-26 12:40:03
4
Ali j :
mashallh🥰
2026-05-26 04:00:33
5
@Aryph :
Allah awazidishie sana
2026-05-26 03:54:02
6
sayummil :
Yaa Rabbi mkubalie dua yake
2026-05-26 20:13:44
1
Mom girls 👧 :
Nimiss kuita baba🥺🥺🥺
2026-05-26 13:47:44
4
mohusseini1989 :
Allah amkubalie dua zake kama amoeba kheyr, na kama ni shari basi umpe badala yenye kheyr nae. Allahumma aamin kwa sote
2026-05-28 12:17:49
2
么『DΛRK』么🇹🇿 :
🥺🥺Allah amkubalie duaa zake
2026-05-26 06:22:33
4
ally fundi :
Allah amkubarie duwa yake
2026-05-26 14:44:19
2
NANAOG :
NAKUPENDAA BABA YANGUUUU 🙏🙏🙏🥹🥹
2026-05-26 09:43:41
2
@Hawaa💋💋 :
❤️❤️Mungu amjalie zaidi ya anacho kiomba 🤲🏼
2026-05-26 15:34:41
2
To see more videos from user @rubeyatv, please go to the Tikwm
homepage.