@dr_abely: KWANINI USINGIZI UNAKUWA MGUMU WAKATI WA UJAUZITO 🤰😴 Mpendwa mama mjamzito, Kabla ya ujauzito: unalala kama mtoto 😴 Wakati wa ujauzito: mtoto analala, wewe hupati usingizi 😭😂 Hii ndiyo sababu 👇 🛌 1️⃣ Kupata Mkao wa Kulala Inakuwa Vigumu Leo upande wa kushoto, kesho wa kulia — hakuna unaoridhisha 😩 🚽 2️⃣ Kwenda Chooni Mara kwa Mara Usiku Kibofu hakina amani… na wewe pia 🤦♀️ 🔥 3️⃣ Kiungulia Kushambulia Usiku Ukilala tu, moto unaanza 😮💨 🦵 4️⃣ Kukakamaa kwa Miguu Ghafla Usingizi unakatishwa na maumivu ya miguu 😭 🌀 5️⃣ Mawazo Mengi na Wasiwasi Mawazo kuhusu uchungu wa kujifungua, mtoto, na maisha… akili inakataa kupumzika. 😴 6️⃣ Kusinzia Muda wa Mchana Kutopata usingizi mzuri usiku = kulala kila sehemu mchana 😅 🎯 Mama, kukosa usingizi wakati wa ujauzito ni jambo la kawaida — sio udhaifu. Kupumzika kidogo mchana, kutumia mito vizuri, kunywa maji ya kutosha na kufanya mazoezi mepesi kunaweza kusaidia 🤍 Hali hii itapita mama 🙏💕 👉 Endelea kusoma post zangu kwa elimu zaidi kuhusu afya ya mama na malezi ambayo si mara zote hufundishwa kliniki 🤱 💬 NUTRITION SOLUTION ✅Afya Bora Uzazi Bora #Ujauzito #MamaMjamzito #PregnancyJourney #AfyaYaMama #creatorsearchinsights
@dr Abel na afya📞255785272868
Region: TZ
Monday 25 May 2026 21:34:09 GMT
Music
Download
Comments
official Rosie :
Miee nalala sa9 uskuu jamni🥹
2026-05-26 05:25:35
2
To see more videos from user @dr_abely, please go to the Tikwm
homepage.