@makanditz: Katika hii video nimeelezea na kuonesha kila kitu namna ya ku distibute music wewe mwenyewe kama msanii au producer full video iko youtube kwa channel ya makandi on the drum

Makandi Tz
Makandi Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 26 May 2026 10:29:10 GMT
32029
2475
70
90

Music

Download

Comments

tenzotz4
TENZOH TZ. :
kak nilwkeze mm nahitaji kujua man kina mtu ananivimbia sn kinipandishia nyimbo zangu
2026-05-27 08:14:53
4
moseskaponda
MOSES KAPONDA :
It is something more than that bro, zaidi ya kupandisha tu muziki
2026-05-27 12:05:37
3
ayanaahtz4
Ayanaah :
nishaweka ntumie wave ya onlyone na nyota bas😳
2026-05-28 02:13:38
2
pineapplemelody1
pineapplemelody :
𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗜𝗡𝗔 𝗔𝗨𝗗𝗜𝗢 𝗛𝗔𝗜𝗞𝗨𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗗𝗔𝗔𝗔𝗛
2026-05-27 08:03:45
3
dino.mamelody
DINO MAMELODY :
upo wapi kk
2026-05-27 18:34:38
3
marvelousrockerbz
MARVELOUS ROCKER B :
Unatumia distributor mgani rafiki
2026-05-30 14:24:44
2
thekingfaridy7
The king Faridy💎 🎶 :
malizia mzee
2026-05-26 20:02:35
3
luta.de.boy
luta de boy :
nine work
2026-05-29 18:14:23
3
ernest_daudi
Ernest_Daudi :
https://vt.tiktok.com/ZSxbbc9SH/
2026-05-28 20:40:03
0
addytzy_
Addy :
Tuma namba brother tushee idea
2026-05-28 20:20:03
0
jayloca26
Jay Loca :
vp ukitumia smart phone,kupandisha audio kunashida?
2026-05-28 13:10:32
2
japhetpatrick7
JAPHET PATRICK :
kaka saf Sana
2026-06-03 20:04:19
1
dyza_music_____
dyza music🎶 :
naomba link boss
2026-05-26 23:29:29
2
bajujuma27gmail.com
Baju juma :
nakuelewa sana kaka nafatilia sana vdio zako shkran sana
2026-06-06 19:04:58
1
nghangafx1
NghangaFx :
Makandi kwa mtazamo wangu binafsi na maoni yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria kwa muda mrefu sana huku nikitafakari kwa umakini mkubwa sana juu ya jambo hili, nadhani ipo haja ya kuweka mambo sawa ili kila mmoja aweze kuelewa vizuri zaidi kuhusu kile ambacho ningependa kusema kwa ufupi sana lakini kabla ya kufika hapo naona ni muhimu kwanza kueleza kuwa kila mtu ana mtazamo wake ila mimi pia nina mtazamo wangu ambao kwa namna moja ama nyingine umefanya nitoe maoni yangu ambayo kwa kweli yanalenga kueleza jambo ambalo nilitaka kulisema muda mrefu sana… sasa kwa kifupi kabisa sina la maana ndugu zangu 😭”
2026-05-27 15:22:16
2
jaff377
jaffreal🔥 :
mwendelezo
2026-05-27 11:01:50
1
chuyutrending
chuyutrending :
apo sasa
2026-05-26 18:11:59
1
moseskaponda
MOSES KAPONDA :
Artist wengi wanaishia kuupload lakini inahitaji very deep research kabla mtu hajafanya hivyo wengine wanaweka nyimbo bila any goal, yaani wanaweka ili kuongeza CV kwamba na wao wana nyimbo online nimewahi kurelease nyimbo kwa mara ya kwanza kupitia distributor fulani halafu akasitisha shughuli zake, sikuwa nimehifadhi ISRC then nilijifunza it needs expertise kwenye hili eneo All in all, kazi yako ni njema
2026-05-27 19:05:45
1
notlikeus035
N"D"E"S"S"A"K"I"D"D"Y"7 :
malizia kak😁😁😁😁😁😁
2026-05-26 10:34:44
1
.coin_man
Coinmanbeatz :
Exactly 💯
2026-05-27 06:49:16
1
user5045696141462
WEKA2WEKE :
najifunza sana hapa barikiwa sana kiongozi
2026-06-09 10:54:07
0
silasmasigah736
Silas Thegospel :
Nice
2026-05-28 12:49:47
0
mdmixing
MATONI :
No kuweka wimbo kwa media bila kutumia distributor ni kuwest time
2026-05-30 09:37:24
0
gwiji48
Gwiji :
tuelekeze kutengeneza account hiyo ya amuse
2026-06-11 09:15:16
1
djwigofleva
DjWigofleva :
Tuendeleee na somo mkuu😇👍👍
2026-05-27 08:21:46
1
To see more videos from user @makanditz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About