hii nyimbo haipiti siku sijaisikiliza ni ushuhuda tosha wa maisha yangu nakumbuka nilikuwa naimba
nyuma nilipo nimekataa tamaa baada ya kuumwa kwa miaka mitano 5 nilikuwa nimepooza MUNGU ni mwema sana ❤️
2026-05-28 05:18:20
116
Nurivess ❤️ 😍 :
Huyu kaka anajua alafu haimbii mazoea anaimba ndan moyo na kiroho nabarikiwa sana na nyimbo zakee 🥺🥺🥺 na nafarijika wengine bila hizo nyimbo tunaona kama hatufanikiwi jamniii inuliwa kaka ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-05-27 10:56:04
60
seniorwyze :
kauimba vzr kuliko ata mwenyenayo🥰
2026-05-29 10:59:09
22
Rao :
Sometimes the flesh can be overwhelming. Pray for Paul, that God’s Spirit may renew and strengthen him.May the good Lord who started the race in him be with him and bring it to completion.
2026-05-26 17:32:08
33
grayfox motel :
wautangaza mwisho mwanzoni hakuna usilolijua so amazing 😍😍😍
2026-05-27 14:54:56
15
Reeny 🌹🌹🦄 :
The best song ever, forever🥰🥰
2026-05-27 04:28:32
9
Arthur :
kama kweli umebarikiwa gonga like
2026-05-28 16:56:58
12
MBEYA GELLE LUXE :
I remember 2019 Oct nilikuwa nimetoka kwa interview na nilikuwa a shida na ile kazi… nilitumia wimbo huu kama maombi yangu hadi siku naitwa kazin
2026-05-27 18:25:13
26
TheGreat :
waooooooo thank you so much hahahaha
2026-05-26 13:44:15
10
Bariki :
Hutangaza mwisho mwanzoni Amen 🙏🙏
2026-05-26 17:10:44
6
Lee Min Ho Tz :
Paul 🔥🔥🔥🔥
2026-05-26 20:05:00
5
Jonas Mkude :
My favorite song of all the time 🙌🔥
2026-05-29 21:17:21
0
Lenny001 :
nyimbo ni ya joel lwaga wadumu milele kai search YouTube
2026-06-01 03:56:47
0
she_is_veronicah :
name of the song plz
2026-05-28 07:47:23
5
ngolojoseph64 :
nani wa kulinganishwa na ww jehova mwenye nguvu
2026-05-26 17:07:52
5
jully💫💦 :
Mungu aendelee kukutumia
2026-05-31 23:36:11
0
Justin Beka song writer 📝 :
Mungu aku fikishe mbali unatufaa sana siyo kila artist anaweza fanya aya ku perform wimbo wa mwenzake Paul uko mutumishi wa mungu Kweli 😭🙏🙏🙏
2026-06-04 08:39:46
1
D.KUCHA :
hiii nyimbo ukitulia ukatafakari vizur utaelewa kwann Mungu ni mwanzo na nimwisho
2026-05-28 20:32:40
6
yasintaoffical :
wadumu milele wooooooh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
2026-05-27 15:34:59
2
Wivine Birungi :
vraiment ses chansons me bénissent beaucoup ❤️
2026-05-29 11:32:46
0
Tulah Alex :
nani alike video zangu 10 nilike zake 10 tukuziane acount
2026-06-01 12:08:52
0
balama540 :
Upepo na mawimbi wa kujua
2026-05-30 19:23:40
0
yogirllyner :
😁😁😁🥰
2026-05-27 12:35:34
1
veronicastanslaus0 :
amen sna utukufut ni kwa Bwana tu 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-29 14:39:46
0
To see more videos from user @itsprincelawrence, please go to the Tikwm
homepage.