@nyebowsa_media: Mwaka 2017 Lebo ya Muziki kutoka Tanzania @wcb_wasafi ilifanikiwa kuachia wimbo "Zilipendwa" wimbo ambao uliimbwa na wasanii kama Diamond Platnumz, Harmonize, Mbosso, Lavalava, Rich Mavoko, Queen Darleen, Rayvanny Lakini hivi sasa Wasanii hao wote niliowanakili hapo juu hayupo hata mmoja kwenye lebo hiyo zaidi ya Diamond Platnumz, ambaye ndiye mmiliki wa lebo hiyo Sasa kitaa kumekuwa na maneno mengi kila mtu analake sasa nimekuletea na wewe utoe maoni yako, halafu badae tutakuja na majibu #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #diamondplatnumz #wcb

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 26 May 2026 14:55:02 GMT
130219
4585
78
51

Music

Download

Comments

kenmwau7
MCkennie mutiz :
naye Rayvanny
2026-07-17 14:59:38
0
ashleymacode4
ASHLEY MACODE💔🦋 :
shida itkuw bi boss😂
2026-07-17 04:01:41
0
davian.qalb
Davian Qalb :
Hata hivyo zamani pia alikiwepo kabla yao acha waende na ndio maana ya msemo usemao watu wanakuja na kuondoka
2026-07-17 13:24:06
1
yona.mwenda2
laurent yona :
Naye ataondoka
2026-07-17 11:00:44
0
shembazy
msabaha :
lava lava je
2026-05-27 06:11:27
7
user9107905518143
user9107905518143lucy :
Dio nimejua leo eti kwa hii wimbo walikuwa wanajibu kiba na ile wimbo yake ya mwambie aje
2026-07-11 17:29:01
1
tofikimajuto
TOFIKI MAJUTO :
wamesha toboa kupitia diamond
2026-05-28 06:41:33
6
zebig01dady
kideboy :
Queen Darlin bado yupo
2026-05-29 10:14:49
3
angelisdory397
Angel Isdory :
shida n bosss
2026-07-05 19:39:42
2
young.shidy.mateka
Young shidy mateka :
ray
2026-06-15 10:52:16
0
todi.teodor
mfilis jr :
zuchu
2026-05-26 21:01:13
5
nzugunihood
GULLU GIANT :
2026-05-27 15:59:38
2
prince.muteke
Prince Muteke²👑👑👑 :
D. Voice 💪💪💪
2026-07-04 17:46:33
0
user5261197613400
user5261197613400 :
family
2026-05-27 13:42:41
1
stanuuuhemmanuel
🇰🇪 stanoh👑 :
yy nto mwenyewe
2026-05-27 13:33:50
2
kingvera47
NTERRA :
kama real madread😁😁😁
2026-05-26 15:35:30
2
user827964734
siparrwo 📸 :
kajipata
2026-06-30 17:58:26
0
user4143759082524
Ezekiel juma.k :
wamefanikiwa
2026-06-01 13:06:43
1
director.kenny7
director Kenny 📸📸 :
nae atatoka
2026-05-27 09:36:40
1
blandinafrancis7
blandina :
anatoka mwakani
2026-05-26 18:12:56
2
shimbakuyi12
SHIMBA KUYI :
na lava lava
2026-05-26 15:43:26
1
usershomykhan1
PAPAA SHOMMY..1.🚬 :
hujamueka queen darling na R.mavoko
2026-07-17 15:05:20
0
charz_technology
Charz_Technology (mpanda) :
kwenu mlizaliwa wangap na sasa ambao bado wapo nyumbani apo apo wapo wangap?
2026-07-17 14:06:56
0
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About