@ngondiyamtembezi: Naomba Sifa 3 Tu za PISI Za Chuga 😁🙌🥰😍 #chuga #chugadance #foryourpage #arushatiktok #daresalaam

Kilumboexplore
Kilumboexplore
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 26 May 2026 16:25:04 GMT
275037
14927
525
284

Music

Download

Comments

www.tktok.pius.com
Pius Paul :
dada bonge kachez vzr kuliko wote nice kwake 🥰
2026-05-27 13:27:22
231
kadari09
kadari :
Asee Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, mimi kama chalii wa chuga nikwamba nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-05-27 09:33:04
20
sir_erickty8
eric :
wanapenda sifa zisizo na maana 😂
2026-05-27 05:43:13
30
ms.j_62
ms.J :
bonge ameshindikana
2026-05-27 05:42:38
46
patrick.bajuta50
Patrick Bajuta :
1 ni wasaf 2 wamenyooka 3 niwaaminifu sana oky like for me
2026-05-30 15:35:23
22
edison.kapt
Edison kapt :
hawajui kukatika
2026-05-27 08:38:09
6
eugendenis358
eugendenis358 :
hawanaga mbili kwenye moja
2026-05-27 09:23:08
27
amanikhalifa17
NS Mechanical engineering :
Hawapo romantic kwenye mapenzi wanawazaga hela tuh
2026-05-27 13:26:26
13
ney.beauty71
ney beauty :
Kama l
2026-05-28 20:13:42
1
salimumusa916
SalimuMusa :
wanavuta bangi
2026-06-05 19:19:27
2
omaa622
omaa :
hana Kona kona
2026-06-01 13:16:37
1
r_5.05
. :
Kibonge unajua sana✨✨✨
2026-06-01 15:08:56
7
shedrack5250
Uncle shedy Tz🇹🇿🇹🇿 :
Mapenzi syo shida zao
2026-05-29 07:00:56
5
elizabeth.tohel
Esma chetu😇og :
wamekaza wasafi wanajiamin🥰🥰🥰
2026-05-28 14:46:36
5
fifi.720
Fifi❤️ :
Hawna mchele
2026-05-28 17:03:57
3
user435627303879
machinoo :
Bonge nice mbaya 🔥🔥
2026-05-28 17:03:51
3
laurent9659
chuda boy :
wahuniiiiiio 🤣🤣🤣
2026-06-01 19:04:38
1
iddykassimu379
Iddy Kassimu :
niwatamu mno
2026-05-31 09:12:53
1
user7998542928654
yerglass08 :
wamekaza🔥🔥
2026-05-27 16:28:22
1
given.paulo
prince of God🤫 :
kugawa utamu wamebarikiwa..
2026-06-02 15:49:04
1
sayunmwamba2
Binti mwamba :
wengi wao hawana malingo❤️❤️
2026-06-01 19:26:37
2
To see more videos from user @ngondiyamtembezi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About