@gideonimethew: Kati ya mahali palikuaga na mtukio hatari na yakinyama ni Mireran ndugu yangu, 🥹 kuna wadada wamewahi kubakwa saa tisa ya jion na mmoja akafariki akiwa anakimbizwa hospital, kuna baadhi ya mojo au vijiji vinahitaji neema ya Mungu sana, nikikwambia Mirerani ilikua ni kisiwa flani we acha tu ndugu yangu 😷 #Shuhuda #Mirerani #Gospel #israel #islamic_video
Gideoni Mathew
Region: TZ
Tuesday 26 May 2026 18:04:07 GMT
Music
Download
Comments
Raphael Emanuel971 :
ila inaonekana unapenda stori za umbea sana😅😅
2026-05-26 18:19:40
5
Jordie❤️ :
Omg 😳
2026-05-26 20:22:05
1
PIRATES ☠️ d=(^o^)=b :
giant power 🔋
2026-06-08 13:55:35
0
Beatus Mtena :
sio pow mkuu
2026-05-27 00:41:03
1
evodie mpanga :
bonjour papa
2026-05-26 18:20:41
2
Gasper Ndakidemi :
f b i kwa dan star
2026-05-27 03:52:15
3
hamadishomari :
hii ni google
2026-05-27 06:52:07
0
z :
nikweli mererani ilikuwa haifai
2026-06-08 08:33:32
1
saddam360@ :
Mwenyezi Mungu akutie nguvu
2026-05-26 18:21:17
2
G.love :
zamani ilikuwa shamba la maroo
2026-05-26 19:11:21
2
Joyce :
Mungu akubariki mtumishi tunabarikiwa na jumbe zako Mungu azidi kukuinua viwango alivyokusudia
2026-05-27 10:17:02
1
Kenny_dady :
FBI
2026-05-26 19:39:52
2
Reny Money :
kubakwa saa tisa muchana daah mungu tunusuru hichi kizazi dahh🥺
2026-05-26 20:09:03
2
john :
wewe jee?
2026-05-27 08:39:30
1
masaki health care :
😭😭
2026-05-26 18:21:43
2
To see more videos from user @gideonimethew, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.