@revkidgo:

Rev.Kidago
Rev.Kidago
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 26 May 2026 18:27:02 GMT
124178
16375
491
215

Music

Download

Comments

rehemabujiji761
Rehema Bujiji :
vyombo vya thamani sana hivi nani asiyejua Mungu awape maisha marefu sanaaaaaaaa
2026-05-27 14:59:49
60
cattyle3
Catty♥️♥️ :
my spirital dadies🥰🥰 hapo kakosekana Mwl. Mwakasege daah🥰Wingu la baraka na neema ya Bwana Yesu liwaatamie🙏🙏
2026-05-27 17:22:15
13
zenith.francis25g
Zenith [email protected] :
mtunzwe na Yehova warumish wa Mungu Asante kwa makezi mzurii ya kiroho
2026-05-27 16:29:38
13
kagas61
kagas :
Mungu awabariki na kuwarinda baba zetu wa kiroho
2026-05-27 05:43:15
10
donn9542
Donn95 :
mungu awalinde mtokapo na muingiapo jua lisiwapige mchana wala mwez wakat wa usiku mungu awalinde na mabaya yote🙏
2026-05-27 10:16:47
8
grace.alexander05
GRACE ALEXANDER :
MUNGU AWABARIKI SANA WATUMISHI WA MUNGU AMEEEN
2026-05-26 19:23:21
5
golder62
I.am_golder🌸 :
Hii combination ni hatari unaiona mbingu Hii apa
2026-05-28 07:54:23
5
magy20161
Lenna :
Tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu
2026-05-27 06:58:37
4
jessica_michael21
Jessy Store🦋❤️ :
Nampenda sana mch kimaro Mungu azid kumpa umri mrefu
2026-05-27 15:19:58
4
user32006723414503
witness :
mungu wa mbinguni awatunze na kuwalinda mbarikiwe san
2026-07-07 21:17:07
4
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
mungu awatunze sana kwa ajili ya utukufu wake🙏
2026-05-28 19:31:49
4
juster.john4
Juster John :
mmekuwa watumishi Bora Sana kwangu Mungu wa bwana wetu yesu kristo awabariki Sana pamoja na uzao wenu
2026-05-27 05:14:54
3
rosie969
Rosie :
nabarikiwa sana na hawa machungaj
2026-05-27 11:17:55
3
kateandbeautycosmetics
Kate & beauty cosmetics :
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwatunza..nawapenda.
2026-05-27 21:48:07
2
lidya.minja8
Lidya Minja :
Nawapenda sana watumishi wa MUNGU
2026-06-24 11:40:17
2
user79919466380533
abigael :
Mungu awape maisha marefu yenye amani na furaha mashujaa wa Yesu
2026-05-27 16:57:44
2
chugachugastan5
Chugachugastan :
wahooo...😁😁Mungu awatendee makuu...atua zangu zilianzia kimara kwa Matsai mchungaji Mungu awatunze ,akika kweli yake inaishi.
2026-06-08 19:16:46
2
santykimaro
santykimaro :
Mungu mnayemtumikia azidi kuwalinda na kuwabariki siku zenu zoye hapa duniani. Ninawatakia mwisho mwema katika jina la Yesu. 🙏🙏🙏
2026-05-27 07:06:17
2
estermongi3
6 :
Napenda sana mch kimaro anapohubiri na kuchanganya na kichaga kidogo ananibariki sana barikiweni sana watumishi wa MUNGU aliye juu
2026-05-27 21:00:03
2
ynxher
Somebodyy😭💕 :
mungu awabariki watumishi wa mungu
2026-05-27 07:30:24
2
ibrarey2
My pendo :
Mungu awatunze ninyi ma familia zenu,mmekuwa baraka kwenye maisha yangu.
2026-05-27 15:29:40
2
lululyimo507
[email protected] :
shemeji wetu wa maana kabisa unayefanya turingie uwepo wako Mungu azidi kukutunza kimaro wetu
2026-05-27 05:14:15
2
user7520554800091
aleandroh 88 :
kkkt ipo kwenye mikono salama sna, mungu azidi kiwatia nguvu na awape maisha marefu sna,kazi ya bwana iendeleeee🙏🙏🔥🔥
2026-05-28 08:59:37
2
jb272460n8u
Joyce :
nawapenda sana watumishi wa Mungu hawa maana wamenitoa sehemu moja mpaka kuwa hivi nilivyo
2026-05-28 11:26:21
2
momocheers
momocheers :
My fav pastors katika picha ya pamoja🙏🏼 Mungu awatunze🙌
2026-05-27 13:32:34
2
To see more videos from user @revkidgo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About