@dalaliedosinza: SINGO @ Inapangishwa @ Bei 40000 kwa mwez @ Mahali sinza @ Malipo miez 6 Na dalali 7 @ Karibu Sanaa ofisini kwetu sinza LEGO @ Garama ya kupelekwa Ni sh 15000 @ Kwa mawasiliano ya Sm 0756999550 @ Namba ya wasp 0659848687

Dalali-Edo-Sinza
Dalali-Edo-Sinza
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 26 May 2026 18:30:56 GMT
79711
1824
448
2227

Music

Download

Comments

johnnydyitz
johnndyitz :
bado kipo jamani nije nikichome
2026-05-27 07:19:31
492
charm_062
charm_062 :
Bora nisianze maisha
2026-05-26 23:04:06
217
qtmydjg
qtmyd :
hii ndio MABATIMENT
2026-05-27 21:10:41
82
juliethgrey
JUJU FASHION 🛍️ :
Bora nikaanzie maisha ubungo dalajani 🙌
2026-05-27 21:12:54
30
allybanza08
Ally Banza 🍃 :
Hii frame nzuri tu ya Duka ukiwa na akili nyingi umekodishiwa kwa 40k
2026-05-28 05:40:13
25
amos.tz40
moses amos :
sio kwel icho ni cha kumalizia maisha
2026-05-27 20:45:56
27
donjay_01
Don Jay :
OFISI ZENU ZIKO WAPI TUWAKWEPE
2026-05-28 11:06:10
16
monalissa544
Lissa🦋 :
Labda kuku wangu waje waaanzie maisha hapo😁
2026-05-27 09:45:24
18
hafidhumtambo
hafidhumtambo :
stoo ya mkaa nataka
2026-05-27 03:26:57
27
mam821733
mamu_mapoz🌸 :
We baba mnafki sana ww
2026-05-28 17:33:46
10
i.t.c_cyner_97
Cyner_97 :
iki ni cha kumalizia maisha😁 😅
2026-05-28 18:17:04
7
23known
overdose💊🥼🩺 :
Bora Hayo Maisha Nisianze TU
2026-05-27 20:20:24
9
vinnywest_
Vinny west :
Chumba au sauna io
2026-06-22 19:14:00
0
._malume
Malume21 :
Acheni usenge madalali
2026-05-27 16:46:43
6
ishamamy
ishamamy :
madalali buana eti kizuri
2026-05-27 04:01:33
8
manager_bestman
manager_bestman :
Hapo anzia wewe mkuu😅
2026-05-29 21:28:09
4
jr_tamimu.1965
TAMIMU ( E. 1)☦️ :
kama kuanza maisha ni hivi bora nisianze
2026-06-12 09:56:44
0
.efahh
.efahh :
Kuna AC kaka?
2026-05-27 19:10:16
1
meelaanna4
miss meela🔐🙊🍁💕 :
40🤔
2026-05-28 09:26:09
1
user8174182206138
isma :
sauwaaaaaaaa
2026-05-28 20:51:37
3
juma.de.zombies
De Zombies :
Bora nisianze hayo maisha
2026-05-28 20:38:00
0
farrymissago
Farry Missago :
mchana kukiwa na jua haushindi ndani😅😅
2026-05-27 15:14:59
4
To see more videos from user @dalaliedosinza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About