waefeso 6:12
Kwa Maana kushundana kwetu sisi si juu ya Damu Na nyama ;Bali Ni falme Na mamlaka juu ya wakuu wa Giza hili juu ya majeshi wa Pepo wabaya ktk ulimwengu wa Roho
Na ukipata Muda wa kuomba Omba kama hutoomba Tena,Dada yangu Fifi umeleweka 💯🫶
2026-05-27 11:22:45
21
wema :
Kama siyo MUNGU kutupigania nihatari😭😭😭🙏🙏🙏🙏
2026-05-26 22:20:59
27
@momy caren🌸💮🕸🪼 :
zaburi 119:18 ninafungulia macho yangu yaweze kuona katika ulimwengu wa roho na wa asili😌asante dada
2026-06-02 16:21:16
6
Nandynii Acharya :
nakuelewa dada
2026-05-31 07:02:19
3
neemaedwardi90 :
kweli
2026-06-01 21:28:14
3
salvador _26 :
Mungu akubarik sana fiona🙏🏾✌️
2026-05-27 11:35:36
10
PHORA BEAUTY :
Fact
2026-05-30 15:21:15
2
user6081250588538 :
nakupenda San
2026-06-01 03:49:37
3
Erica Ndossy :
that's very true sis🙏
2026-06-04 03:31:59
0
fifi♓️🐬 :
kabisaaa
2026-05-30 06:25:06
3
Rashi beauty saloon💃 :
weeweee ( Fiona's voice)🥰
2026-05-27 20:09:00
3
🦋simply_mom✨️🎀 :
wifi mwanangu ninakuelewa mnoo UTAMBUZI HAKUNA KUPUUZA .MUNGU NNAOMBA JICHO NIONE MENGI NA MENGINE NISIYOYAJUA YALIYOJIFICHA AMBAYO SIWEZI KUONA BILA JICHO LA TATU (UTAMBUZI NDO SILAHA YETU PEKEE )🙏🙏
2026-05-27 08:53:13
8
Zulfa Miraj @951 :
Nakubali 100% dada hii post ningeiona miaka mitatu nyuma aaakh UTAMBUZIILA WE DADA DAAAH 🙌
2026-05-27 12:17:23
5
Organization of help team :
Mchawi wa maarifa ! ❤️❤️
2026-05-26 22:41:43
6
MR.P :
%100 kweli sister
2026-05-27 04:34:25
9
zawadi Home decor :
umeongea kitu kikubwa sana
2026-05-26 23:24:28
8
Shux💝dê 💖Çûtê 💞 :
Oooh ko nizangatie ndoto au 🤔🥺
2026-05-26 21:40:37
6
Laura :
Nilimuomba Mungu aniambie kwann kuna mambo napitia ananionesha ni vitu vidogo ambavyo wakati nasikia nilipuuzia kbsaaa ilaa
2026-05-26 22:47:43
6
Dora Kibale :
asante my dear nimejifunza kueshimu ndoto zangu nilikuwa sifatilii
2026-05-26 23:51:08
5
karesh :
kweli dadaa
2026-05-31 17:02:13
3
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm
homepage.