Kuna lie Dawa ya bawasiri ulituelekeza,, me napaka kila siku usiku nikilala walah naona kinyama kinaisha 😩🙌🙌 Mungu akujaalie Neema zaidi Inshaallah
2026-05-27 05:26:30
11
Fay collection6 :
Jaman mdg wangu mpk sasa bado anajikojolea miaka9 sasa naomba msaada plz
2026-07-18 20:38:39
0
Clara Myumbo :
Sasa mbn unatuchanganya Kila kitu kinatibu vidonda
2026-07-17 21:44:32
0
Am_nono :
siku tatu au wiki tatu
2026-07-19 17:17:44
0
Enjoy Official :
inatibu na hpyroli?
2026-07-17 12:27:41
0
 :
H.Pylori pia??
2026-07-11 17:29:50
0
ukhty rehema 🥰❤️ :
nikweli
2026-05-27 07:20:22
2
sabini :
samahani doc cayarn paper ndio pilipili kichaa au?
2026-06-09 03:46:12
0
Denise :
😂😂 kweli dawa ya moto ni moto
2026-06-25 14:47:03
0
muna :
Constipation doc?
2026-05-28 20:10:51
0
Dee💖🤪 :
mimi naomba unisaidie dawa ya kutibu miguu inauma ndani alaf kuna mda inawaka moto na maumivu ni makali na kuna mda adi inavimba🙏🙏🙏
2026-05-29 12:23:22
4
OLIVER'S COLLECTION :
Dr. unameza kwa siku mara ngapi?
2026-06-28 11:00:31
1
TOP JEE :
na acedi
2026-06-07 22:32:17
0
lucie💋💫 :
inatibu na Hpyori ???
2026-06-28 03:26:14
0
Rebecca :
barikiwe sana
2026-05-27 07:54:20
0
𝐄𝐥 Capitanọ 𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮𝐞 ♾️ :
How?
2026-05-29 16:43:43
0
Petro Ludovick :
hii pilipili ndio ile wanayosema kichaa
2026-05-27 05:59:02
9
fettyfatmah0 :
kwa hii mim pia nishuuda nikipona vidonda vya tumbo nilikuwa nameza kama vidonge mda wa siku saba saizi mim ni mtaalamu wa kula pilipil kama muhindi na ninakula kila kitu mama ndo alinielekeza 👏
2026-05-29 07:26:40
2
Sando Mr nature🇹🇿🐘🐍🦍🦩🦩 :
kaka tutafutie dawa ya maumivu ya kiuno kukaa shida kusimama shida kuinuka shida kulala shida please kaka
2026-05-29 03:02:28
2
Audrey :
dawa ya acid reflux 🥹🥹🥹
2026-05-27 11:46:53
1
mercykombe125🤪 :
unameza kutwa mara ngap ?🙏
2026-05-27 04:21:43
0
chiku :
je nipamoja na asid au vidonda peke ake
2026-05-27 05:39:25
2
feyson@123 :
na h pylori?
2026-05-27 05:13:04
1
memoh :
dr inaitwaje iyo nikatafute
2026-05-27 04:10:23
0
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm
homepage.