@veronicasimulizi: NO FILTA YA JAHAZI HD tunae mwanadada anaitwa Chiku Katika mengi Chiku amepitia hii neno aliyo tankiwa na mume wake ilimuuma sana 😭😭😭 Ni neno gani baya umewahi tamkiwa kwenye maisha yako na ukaumia moyo sana Kumbuka unaweza fuatilia NO FILTA YA JAHAZI HD CLOUDS FM Kila siku J3-Ijumaa kuanzia saa kumi na mbili jioni
MUNGU AWAHIFADHI WANAWAKE WOTE WANAOPITIA MITIHANI AMIIIN YAARAB
2026-05-27 14:30:51
138
Mrs B :
aliniambia anipende sana kwa kip yaaan
2026-05-27 06:07:45
61
Mely Sgm :
mim alinambia sina akili pia mim sina vitu vyake😭😭
2026-05-27 10:13:37
70
𝘔𝘖𝘔𝘠 𝘎𝘌𝘕𝘌𝘚𝘐𝘚 🇰🇪 :
mahusiano magumu sanaaaa
2026-05-27 04:33:41
69
Ms Ella :
dada sasaiv unasimulia redio gan na saa ngp? Efm haupo jamn 😔😔
2026-05-27 08:51:11
44
Kiah :
Dada vero mm nimekuwa familia ya simulizi zako toka 2019 nimejifunza mengi Sanaa Asante sana mwenyez Mungu aendelee kukuweka
2026-05-27 05:32:56
38
Neema Zefania :
dada Vero me niliambiwa naenda course ya miezi 3 usinitafte mpaka nitakapo kutafta aseeeeee niliumia Sana Na nikiingia online kila page Yuko online lakn sikuwah kumtafta Ila niliumia Sana 😳 miezi 5 Nina umia Moyo lakn nilizoea
2026-05-27 14:12:01
25
™✅🦋 FAYLICIOUS BAE 🦋™✅ :
Niliambiwa kata simu nacheza game
2026-05-29 19:23:39
12
2ke360 :
Naombeni notebook ya 200 pages nijaze hayo maneno
2026-05-27 19:36:36
10
erizabti :
Mimi niliambiwa sijawai kukupenda ata kidogo
2026-05-28 10:39:44
15
Jeni Jenipher :
kwamalaya kwanza ndonakuona nilikuwa na sikia saut tuu kwenye redio nakupenda sana dada
2026-05-28 07:56:05
12
lan_voc :
naipenda San sauti yako☺️
2026-05-27 07:12:37
23
Official Nana 🇹🇿 :
Me aliniambia hana hisia na mm 🤦♀️🤦♀️
2026-05-27 13:31:19
16
lovelicious💃 :
Sina future yeyote na wew
2026-05-27 16:41:02
13
husnaabel98 :
mimi niliambiwa "ntaoa mwanamke nnaempenda"🙌
2026-05-27 08:52:37
23
Godwin Chilala :
dada sauti yk ipo ktk maskia yangu ni leo nmekuona pc yko
2026-05-27 20:21:50
10
janie :
ila wanaume
2026-05-27 06:13:50
11
Kat official :
Mimi niliambiwa we vipi?
2026-05-28 16:07:17
5
faith :
sikupendi
2026-05-28 04:53:42
6
Warda salum :
Mm na yy hatuna future anampenzwake
2026-05-27 10:12:08
7
💫regnaTz24💋💋 :
wow dadavero🥰🥰🥰
2026-05-27 09:56:49
5
missNey og :
dada v Nakupenda sana
2026-05-27 07:16:27
5
To see more videos from user @veronicasimulizi, please go to the Tikwm
homepage.