Bro., Injini ya 3ZR-FAE ilitoka kiwandani ikiwa na spark plug Denso SC20HR11. Hata hivyo, baadaye Toyota na Denso waliboresha namba ya spare na kuhamia SC16HR11 kama replacement rasmi. SC16HR11 ni plug yenye heat range iliyorekebishwa kidogo ili kuboresha muwako, kupunguza carbon deposits na kuongeza ufanisi.
2026-05-30 07:26:28
1
george jovin :
ya 1NZ
2026-05-27 13:06:10
1
ghonest99 :
Nissan xtrail QR20 -2005 Naweza tumia plug gan
2026-05-31 09:12:57
0
hsn1 :
naomba kufahamu za 2rz ni aina plug gani
2026-05-29 18:59:06
1
raymond :
nisana juk
2026-05-29 08:24:17
1
kasongo083 :
Za ej20 engine ya subaru forester
2026-05-27 12:54:16
1
Robert Lisasi :
plug gani ni nzuri kwa harrier chogo, 2AZ engine
2026-05-28 07:14:51
1
ajitasolanki2 :
Vanguard vvt
2026-06-01 13:44:45
1
Yuzo nado 7⚽️ :
Mark11 grande plug gn mashine 6
2026-06-01 10:50:16
1
aziziwakariakoo :
kaka alteza 3sg yamaha nitumie ipi
2026-05-28 06:12:07
1
i.a_m.salem :
What if SC20HR11 ina sindano juu na chini
2026-05-27 12:01:44
0
enthusiast :
mfano mimi ninatumia prius yenye 2zr fxe, ilikuja kutoka japan ikiwa sc20hr11, but baadae nilitoa nkaweka new recommended plugs SC16HR11 ambayo toyota wali recommended as new improved plugs for zr series engines kutoka na heat range yake ya operations..SC16HR11 plugs ina operate at high heat range so hairuhusu carbon kukaa kwenye tips za plug hivo zinazuia potential misfire.
2026-05-27 04:14:59
1
ghonest99 :
Nissan xtrail 2005 naweza tumia plug Gani?
2026-05-31 09:12:01
0
rickson rickson :
Gari yangu inaisha oil kabla ya muda wa service. Hata kama nikiongeza inaisha pia .Na gari hakuna sehem inavujisha
2026-06-29 13:39:14
0
Omar Kassim :
well said brother.
2026-06-09 14:39:03
1
mwangezii :
za 1nz raum ya 2009 shiingapi?
2026-06-26 11:14:59
1
Mr_handsome :
Na alphard 2009
2026-06-26 09:37:13
1
SegenaMS :
Kaka umesema kweli . Mimi gari yangu Toyota Surf nilitumia hizo za 20hr11 gari ilikua nzito jlna inakula mafuta sana. Juzi nimetumia hizo za 16hr gari iko pooa kabisa
2026-06-29 08:36:37
0
Eastwood Auto Spare Parts :
Sorry sio kwamba Unakuta Mtu kanunua Plug Feki Coz Izo Anaconda ukiingiza Chases number plug inayofunga kweny iyo gar Engine 3ZR SC20HR11 kwamba mjapan nae kakosea Au??😎
2026-05-28 20:20:04
0
mwakanumba :
kwa Nissan dualis Cross rider ni zipi zinzfaa kiongozi,na unatuma mikoani?
2026-05-28 05:55:57
1
To see more videos from user @spark_plugs_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.