@najma_nassir: #fypシ゚viral #fyyp Blessed to pray our first Eid together on our anniversary 🫂❤️.Happy one year anniversary my love @☪️🇯🇲🇯🇲GrantFromPhilly🕋 Nakupenda sanaa mume wangu❤️

Najma Nassir
Najma Nassir
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 27 May 2026 08:01:15 GMT
310353
16489
411
872

Music

Download

Comments

rukia521
Ummu Abbas :
Eish kazi ni kusmile kwa mapenzi ya watu tuu 😂
2026-05-27 15:10:08
328
kaseemgrant49
☪️🇯🇲🇯🇲GrantFromPhilly🕋 :
Our first Eid together out of many more my love 🫂 👩🏾‍❤️‍💋‍👨🏾🫶🏾
2026-05-27 10:47:18
58
safiamdoe
Safia Mdoejdhsj :
na mm nilikuwa hivyo hivyo na mume Wang 🤣🤣🤣nikajua ndio nimeshafik kumbe safar bad inaendelea 🤣🤣🤣
2026-05-27 18:03:40
85
ruqyah2544
✨💫🌺baby baby 🌺💫✨ :
wenzangu na mm😁
2026-05-27 13:01:05
46
beeeee4572
Private nanny :
Ama wallah , nmejikuta nkibubujikwa na machozi ya furaha sana pindi nkiona wawili wamekua pamoja kihalali kama hivi, nami nataman Allah anijaalie mume bora, mwenye upendo na huruma na awe anamcha Allah, mwenyez mungu atujaalie wanawake ma single subra, pia atujaalie kuolewa na mwanaume ambayo tutaingia peponi kupitia nyayo zake kwa kumtii , kumpenda na kumuheshimu inshaa allah🥰
2026-05-28 07:39:00
31
fettybella8
Bella :
Mtaachana tu
2026-05-27 17:37:36
13
pendo.kefa
P❤️👌 :
Mungu Nipe Mume jamani nimechoka kuteseka kila ninae mpenda ananichezea nakutoka
2026-05-28 14:21:38
9
emmy.strowberry3
Emmy Strowberry :
wanaume warefu wana pepo yao🥰
2026-05-27 17:13:36
37
salimahassan630
salima hassan :
How old is she?
2026-05-27 22:06:36
5
missboss002
missboss🦋🐾 :
The high difference 😫😫🥰🥰🥰🥰
2026-05-27 13:00:40
20
mamu._.licious
mamu._.licious :
wamependeza hawa
2026-05-27 20:29:33
8
aysherbasmat2
aysherbasmat2 :
Wadada wafup tunapend sana wanaume wa hiviii🥰🥰🥰🙈🙈🙈❤️👌👌
2026-05-27 23:08:53
8
lifeof.mamish
mamish🖇❤️ :
mungu kma hawa🥰🥰
2026-05-27 12:51:52
8
haifatymohar
💕Delam💞 :
the height ma shaa Allah Allah awadumishe
2026-05-27 15:08:29
10
3rdborne
Mishi Georiah :
💞💞💞MashaAllah to many more Eid together 💞💞💞💞💞💞
2026-05-27 08:05:57
6
swaumu.mashaka
swaumu mashaka :
enzi za uhai wangu
2026-05-28 11:12:55
4
juscharmed_cosmetics
Justcharmed Cos :
Beautiful 🎊🎊
2026-05-29 23:44:14
2
valleriashanice7
maryam khan :
nikipata kama huyu natulia😅
2026-05-27 17:28:50
1
_its_eemah
H🦋I🦋J🦋A🦋B🦋I🦋E 🧕 :
Zingatia height 👌😊MashaAllah
2026-05-28 11:29:46
4
robot9923
Robot :
kisha mkihusudiwa mje kulia mitandaoni
2026-05-31 13:25:28
1
user8605675819632
user8605675819632 :
show off
2026-05-28 11:56:25
0
To see more videos from user @najma_nassir, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About