@mwangomo.jr: Eid Al hadha wananzengoo

Mwangomo Jr
Mwangomo Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 27 May 2026 10:07:28 GMT
119914
1991
242
951

Music

Download

Comments

iyzz_lee1
iyzz_lee :
ini nalo linajiendekeza sasa
2026-06-11 10:19:11
71
bosco0206
Bosco :
mm lakwangu liliacha kuchuja October kwa Sasa nachuja na konyagi hadi lizinduke
2026-06-11 19:28:16
13
queenice015
Queenice :
Taifa langu🥰
2026-06-06 16:49:46
14
mankamushi36
Manka Mushi :
kwanza bia imeshachujwa Tangu kiwandani ini linajipendekeza tu
2026-06-13 15:08:33
12
bintiwayesu01
BintiWaYesu :
ini limkaa kilaini sana kama linatokea dar bhn😅😅
2026-06-12 06:54:09
9
kc777697
KC77 :
ini nalo linadeka sana jamani c eh😂
2026-06-13 10:43:42
7
dixkid666
dixkid_$666 :
mbona maji linachuja tu vizur halisemi mwisho Lita tatu huo ni ugomvi wao tuu na bia sis watuache 😂😂
2026-06-12 09:54:22
13
father_bernard69
#Father_Bernard 🤠 :
Basiiiii
2026-06-13 05:54:50
1
clotildawilliam67
clotilda :
ini ini ini kwanini
2026-06-12 17:33:43
1
mpyanchoo655
mpyanchoo655 :
wanywa bia kupumzika ni mtiti, tunasemwa misikitini, makanisani, kwenye media mpaka mitaani, jamani my wetu asisikilize ya watu
2026-06-11 20:39:49
5
beatriceseverin70
koku🥰🥰 :
sasa ss tunakunywa cret inakuwaje😂😂😂
2026-06-11 15:46:39
7
jackielyamuya
Jackie Lyamuya :
Nisikie mtu anasema huyo n mchaga😂😂😂😂
2026-06-17 17:46:41
1
mrmwanda1
𝐌𝐑 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐃𝐀 :
𝐌𝐜𝐡𝐚𝐦𝐛𝐮𝐳𝐢 𝐮𝐦𝐞 𝐧𝐢𝐮𝐮𝐳 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐭𝐚𝐭𝐮 𝐬𝐢𝐨 𝐤𝐢𝐫𝐞𝐭😂😂
2026-06-12 08:28:52
6
lightiness.tarimo
Lightiness :
Mbona soda linachuja tu vizuri kwanini beer lichuje mwisho tatu hilo ini limeanza kujiamulia mambo😏😏
2026-06-12 16:24:14
5
didah.donna
Didah Donna :
ini nalo kinafanya kaz kwa uvivu 😂😂
2026-06-11 13:10:21
8
hawk1477
hawk :
Ini limeanza kujiamulia mambo🫴😁
2026-06-11 17:27:49
5
michaelbabu15
*Malcolm boY* :
ini linadeka sana
2026-06-12 22:05:50
1
magretmassawe
Magret Massawe :
ini lingefanya mambo mengine tuu
2026-06-14 17:40:51
0
mkwayarukiah
Niyeyeee :
wanywa bia wanapingana na ini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-12 11:00:15
1
user19952828165735
😇😇💦 :
kwa hiyo tunao kumywa kreti zima mna tuweka wapi 😌😅😅😅😅
2026-06-12 17:29:06
1
To see more videos from user @mwangomo.jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About