@dangah_medics: 🚨 UKIONA DAMU YAKO YA PERIOD NI NYEUSI NA INA MABONGE MAKUBWA… USIPUUZIE! Huenda si hedhi ya kawaida kama unavyodhani. Inaweza kuwa ishara ya: ⚠️ Mkusanyiko wa damu kwenye mfuko wa uzazi ⚠️ Mabadiliko makubwa ya homoni ⚠️ Fibroids ⚠️ Changamoto za mfumo wa uzazi Ukiona inaambatana na: ❌ Maumivu makali ❌ Harufu isiyo ya kawaida ❌ Kutokwa na mabonge mara kwa mara ❌ Hedhi nzito kupita kiasi Mwili wako unaweza kuwa unakupa warning ya mapema. Wengi hupuuza hadi tatizo linakuwa kubwa zaidi. Umewahi kuona damu nyeusi yenye mabonge kwenye period? Niandikie “NISAIDIE” inbox nikuelekeze. 📩 #flypシー #tiktoktanzania🇹🇿 #flyppppppppppppppppppppppppppppppp #afya #tiktokkenya

Dangah_Medics
Dangah_Medics
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 27 May 2026 11:55:17 GMT
2348
22
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dangah_medics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About