@abdulazizielajemi: ✨ SWALA YA TOBA NA JINSI YA KUSWALI ⬇️⬇️ 1_UDHU☘️ chukua udhu kwa usahihi kwani Mtume (s.a.w) anasema "Atakae tawadha Kisha akaswali rakaa mbili Allah humsamehe madhambi yake". 2_NIA☘️ Siku zote Nia ipo moyoni mwako, tia Nia unaswali rakaa mbili za kutubia kwa Allah kwa makosa uliyofanya. 3_SWALI RAKAA 2☘️ Rakaa ya kwanza utasoma suratul Faatiha na sura yoyote unayoiweza, Kisha rakaa ya pili hivyo hivyo. 4_ISTIGHFARI☘️ Baada ya Salam usiinuke Baki hapo hapo, keti kwa unyenyekevu, Lete istighfari kwa wingi. 🤲Omba msamaha kwa dhati mbele ya Allah,mlilie akusamehe madhambi uliyoyafanya. ✨ MASHARTI YA TOBA ⬇️⬇️ ☘️Kujutia moyoni madhambi uliyofanya. ☘️Kuacha papo hapo dhambi hiyo uliyofanya ☘️Kuweka azma ya kutorudia tena dhambi hiyo ☘️Kuomba msamaha kama ulimkosea mtu au kurudisha haki yake. NB:Swala hii utaswali muda wowote isipokuwa nyakati ambazo ni makruhu au haramu kuswali. mfano Wakati jua linachomoza au linapozama ✨ والله أعلم ✨ #islamicvideo#eidmubarak #toba #fyp #viral ☘️ Usisahau KUFOLLOW page hii@guide_qalam ili uendelee kujifunza uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, Qur'an na maneno ya busara.

guide_qalam
guide_qalam
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 27 May 2026 15:34:43 GMT
7140
766
13
79

Music

Download

Comments

farhyas.grandma
farhya,s grandma :
jazakallah khaira
2026-05-27 17:50:53
3
user4048039018404
user4048039018404 :
amiiina
2026-05-27 20:53:10
2
shainita28
SHAINITAH :
ALLAHUMMAH AMIIN INSHAALLAH ALLAH Tujaalie mwisho mwema inshaallah
2026-05-28 02:28:11
1
getrudeamwai361
Mama kylian :
Amiiin thuma Amiiin Inshaallah 🤲💯🙏
2026-05-27 23:55:37
1
user7338198150599
subira mzee :
ameen
2026-05-28 01:40:52
1
reynaa727
Meow🐹💦 :
Amiiiin Amiin
2026-06-10 14:16:06
0
sabahiimuhammed
Sabahii Muhammed :
Sote tunakosea
2026-05-28 06:23:40
0
dulla.lanyoo
Dulla Lanyoo :
Takbriii 🥰🥰🥰
2026-05-28 20:58:37
0
khadija40348
khadija adhey :
Amin yarab
2026-05-29 12:39:37
0
aysha.shombe
Aysha Shombe :
Amiin
2026-05-28 15:23:16
0
hassansouzha
Hassanskb122 :
nahitj nianze kuswali ht leo ila sijui chct plz nisaidien sina amani kbx nahic kuchok
2026-06-07 23:00:59
0
kaagarra011
Kagarra011 :
🥰🥰🥰
2026-06-17 07:32:18
0
amiryusuf575
Amir Yusuf :
Alhamdulillah Rabul Allah min 😍🥰😘
2026-06-06 17:36:49
0
To see more videos from user @abdulazizielajemi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About