asalam alaikum gavana mm naitaji pesa ya biashara ili nijiendeleze kimaisha plz na Nina kuombea mungu mwaka huu ufauluinshaallah
2026-05-28 17:26:45
0
Mwabungu Dzala :
santaa babaa
2026-05-28 17:32:24
0
Ali Ndegwa :
Kweli kabisa our next Governor
2026-05-28 06:26:07
0
Rashidi Ali :
zunguka mzee usambaze sera mzee
2026-05-28 07:52:06
1
Hàmso Dà Prince :
mheshimiwa ukifanikiwa inshallah natamani niwe katika security detail yako Inshallah..nmekua mandera 6 years nmetafta sana nafas ya kufanya kazi na viongozi wa nyumbani lakn ukabila ni mwingi sana mheshimiwa mimi naamini sana katika maendeleo na sio ukabila😕😕