@myphamhuynhnhuchinhhang: Trả lời @math.v97 Không bong tróc ko bào mòn da.#bodyx3luxury #nguyenhuynhnhu #myphamhuynhnhuchinhhang #facedem

MỸ PHẨM HUỲNH NHƯ X3
MỸ PHẨM HUỲNH NHƯ X3
Open In TikTok:
Region: VN
Thursday 28 May 2026 03:59:38 GMT
1961
28
1
12

Music

Download

Comments

tuananhh320
Tuấn Anh :
xinh giá
2026-05-30 05:44:26
0
To see more videos from user @myphamhuynhnhuchinhhang, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Mtaalamu wa ushauri nasaha na saikolojia, Leila Bakari Chamshama, ametoa wito kwa jamii kuacha kuwahukumu na kuwadharau wanawake wenye watoto, akisema si sahihi kuwapa majina au taswira hasi kutokana na changamoto walizopitia katika maisha yao ya mahusiano. Akizungumza katika mjadala kuhusu mahusiano na familia, Leila alisema kuwa wanawake wenye watoto si kundi linalofanana, kwani baadhi yao wamejifunza kutokana na makosa ya nyuma na wamekuwa watu wenye utulivu na uwajibikaji mkubwa katika familia zao. Alieleza kuwa changamoto hujitokeza pale ambapo mtu hajajifunza kutokana na uzoefu wa awali na kuendelea kurudia tabia zilezile zilizochangia matatizo katika mahusiano yake. Kwa upande mwingine, Leila aliwataka wanaume na wanawake kujifunza kuweka mipaka katika mahusiano kwa kutoruhusu kudhalilishwa au kuumizwa mara kwa mara. Alisema mtu anayekuletea maumivu au kukusaliti anapaswa kuwajibika kwa matendo yake badala ya kuendelea kupewa nafasi zisizo na kikomo. “Ukimruhusu mtu akukere mara ya pili kwa jambo lilelile, unatengeneza mfumo ambao unaweza kuwa na madhara katika maisha yako,” alisema. Aidha, mtaalamu huyo alisisitiza umuhimu wa mtu kujipa muda wa kupona majeraha ya kihisia kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine, akieleza kuwa kufanya hivyo humsaidia kupata mwenza anayelingana naye na kujenga uhusiano wenye afya na heshima. Leila alihitimisha kwa kusema kuwa watu wanaothubutu kusema “hapana” kwa mahusiano yasiyo sahihi huwa katika nafasi nzuri zaidi ya kupata wapenzi wanaowathamini na kuwaheshimu. cc @madam_leila_abubakar  #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ #TeamChawamata #SupportLocal #MadeInTanzania #RoadTo100K #tanzaniatiktok

About