@umysama: 🫂Kama ulikua hujui maana za maua basi leo kaa chini kipenzi changu ujifunze! 🪴Maua yanamaana katika maisha yetu, yana energy kubwa sana katika maisha yetu na mbali na maana zake maua pia yana energy kubwa sana ndani yake! 🌱Maua pia yanasikia maneno utakayoyaambia na yanakutii kwa sababu wewe ndio rafiki wa maua mpya! With love, Eng. Sama🩷🫂🌸🙏🌱 #flower #plant #fyp #tiktok #viraltiktok

Ummi Sama
Ummi Sama
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 May 2026 06:26:39 GMT
62022
1067
12
280

Music

Download

Comments

cullenchrisbell
Cullen Chrisbell :
Money plant bei gani
2026-05-29 05:53:06
1
repamumbere
mécanicien :
🙏🙏🙏 nakwa sisiapapo tunapatikana mjn Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunaipataje ?🙏🙏🙏
2026-06-13 10:18:38
0
sospecial_4deal
NASSOR M OMAR :
bei gn n mpo wp
2026-05-29 13:19:49
0
nach.hawa5
nach.hawa :
upo wap
2026-05-29 11:54:12
0
dayochaa
dayocha :
snake plants linafaa kukaa sehemu gani kwenye nyumba
2026-05-28 13:02:57
0
abeladecorationab
Abela Interio Exterior paint :
mkijibiwa nitauliza
2026-07-09 09:26:55
0
simply_ryn0
Ms. Ryn🌸🦋 :
Nina snake plan ambalo kuna lenye yellow stripes na moja ni green tu kwenye kuhama wakalieka vibaya likavunjika tawi moja (lenye yellow stripes) now yote yellow stripes yameoza na yametoka hadi mizizi imeoza imebaki green roho imeniuma🥺
2026-05-29 13:36:42
0
cptn.mecky
Captain mecky leo🇹🇿🇮🇩 :
🥰🥰🥰
2026-05-29 16:55:13
0
whitney.dimples
Whitney Dimples :
❤️❤️
2026-05-28 14:57:49
0
laceylyka
Lacey :
😁😁😁
2026-05-28 14:01:14
0
pink00150
Baby pink :
😂😂😂
2026-05-29 10:31:36
0
gogogoella1
Mum kae❣️🌹 :
😳😳😳
2026-05-29 22:13:42
0
To see more videos from user @umysama, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About