@freddiehealthcare: tumbo la mwanadamu lina asidi(tindikali)inayotumika kumeng'enya chakula indapo hii asidi itazidi ikafikia koo lako ,italeta athari kama Kiungulia ambacho wengi hupitia hii hali ,hiyo sio kawaida chukua hatua mapema kupata tiba sababu wengi wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza tu Kiungulia na baada ya dawa kuisha hali urudi tena chanzo ni kuzidi kwa kiwango cha asidi Kiungulia ni tatizo hivo inakubidi kushughulikia wingi wa asidi ili kurudi kwenye kiwango chake ,uweze kuondokana na hayo maumivu ya kiungulia na tumbo #tiba #tiktokhealth #viraltiktok #dawa #acidreflux

freddie_healthcare
freddie_healthcare
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 May 2026 07:28:31 GMT
240
8
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @freddiehealthcare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About