Zinaa sio nzuri kabisa aswa kwa sisi maskini ndio balaa sana kikubwa kuacha kabisa subhuanna Allah tabarakah atufanyie wepesi waislam wote Alyekhum salaam warahmatullah wabarakatuh 👏
2026-05-29 03:39:02
17
Salim bakari :
Kweli shekhe Allah akulipe Kila la kheri
2026-05-29 16:36:54
9
Rahma :
Alhamdulillah sijawahi kufanya zinaa ninamuomba Allah anijalie mwisho mwema