@fainess_health_clinic: ❤️🔥Acid reflux (au GERD) inaweza kusababisha maumivu au “kubana” kifuani kwa sababu tindikali ya tumboni inapopanda kwenda kwenye umio (esophagus), huikera na kuifanya ijikaze. Umio uko karibu sana na moyo na kifua, hivyo maumivu yake mara nyingi huhisiwa kama kifua kubana au kuungua. 🌿Dalili za kawaida za acid reflux ni: 👉Kuungua kifuani hasa baada ya kula 👉Ladha ya uchachu au tindikali mdomoni 👉Kubana au maumivu katikati ya kifua 👉Kukoroma au kikohozi usiku 👉Dalili kuongezeka ukilala au ukiinama 🌿Vitu vinavyochochea mara nyingi: 👉Chakula chenye mafuta mengi au pilipili Kahawa, soda, pombe Kula usiku kisha kulala haraka Uzito mkubwa Kuvuta sigara. 🌿Mambo yanayoweza kusaidia: 👉Kula kiasi kidogo kidogo 👉Usilale ndani ya saa 2–3 baada ya kula 👉Inua kichwa kidogo unapolala 👉Epuka vyakula vinavyochochea dalili. 🌿 Nitafute kwa tiba na ushauri zaidi::255::773::14::65::60:; #acidrefluxtiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #MaishaBora #foryoupage❤️❤️ #OndoaKiungulia