@ghazal.tv1: OGOPA SANA DUA YA MTU ULIE MDHURUMU 💔 Usimdharau mtu aliyenyongeka kwa sababu yako. Dua ya aliyedhulumiwa hupenya mbingu bila kizuizi. Machozi yake yanaweza kuwa sababu ya kuondoka kwa baraka zako. OGOPA SANA DUA YA MTU ULIE MDHURUMU. ⚠️ 🎙 SHEIKH HAMZA MANSOOR #SheikhHamzaMansoor #GhazalOnlineTV #Dua #Uislamu #Nasaha