@naarah032: Mambo yalitaradadi wallah ni raha🔥🥹@ukhtysitraty @Idd Bin Sheikh Mohamed Idd❤️🤍 @Hussein miladu @mayah❤️🐝 #1000000views #viralvideo #trendingvideo #flyppppppppppppppppppppppppppppppp #videoviral

From your contact
From your contact
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 May 2026 10:50:50 GMT
78002
3915
179
65

Music

Download

Comments

batulimohamedi3
daudi :
mashallah shehe walid
2026-07-16 05:23:46
1
user5445662670705
_pizzapizzroh :
tuma andamana lini
2026-07-16 05:55:24
1
wisegirl331
wisegirl :
Me nawaambia ukweli bhanaa mtajijua wenyew shekh wetu ni lihandsome 🤗
2026-07-15 20:20:43
36
helenakhan59
Mrshuns og# :
tuleteeni zanzibar tunamtaka kama shekh Othman Malim wakenya dhahabu waliiwacha ctukaiyokota tunayo Alhamdulillah
2026-07-16 17:32:12
5
habiba437900
habiba43♥️ :
ila moyo umeniuma mpaka machozi wallah
2026-07-15 06:41:17
11
001_abdizo
abdhillahyussuf :
oyaa huyo abbas mwambieni akaongoze mji wa katoro huko atuachie walid wetu bana
2026-07-16 06:15:44
11
chirume300
Chirume :
NATAKA TEAM WALIDI TUJUANE TUPITISHE MCHANGO WA BILIONI 2. ANZISHE BAKWATA YAKE.
2026-07-16 08:03:37
3
mohd.massoud4
Mohd Massoud :
shekh wa music 😅😅😅
2026-07-15 03:38:02
3
rashal.aliy
Rashal aliy :
kwenye hii dunia ukiwa mwema ukiwa unasimamia sana upande wa haki bas lazma hudumu pahal ila mungu atasimama na ww sheh walid nass tuko pamoja na ww haijalishi wamekuzafua vp lakn kwa mungu bado una nuru yako
2026-07-16 06:42:40
5
shaibumussa679
shaibu Mussa :
UKIONA SHEKH WAHUNI NA WATU WAOVU WANA MAHABA NAE APO KUNA SHIDA KWA SHEKH
2026-07-16 16:25:28
1
azizajongo
Aziza Jongo :
Mashaallah kipenzi cha watu
2026-07-16 18:15:48
3
ekoi695
EKOI :
lov you waleed tz tutarudi shekhe tunakuombea umrinmrefu
2026-07-16 08:52:06
2
user239880443794
saumu V.8 :
ALLAH AKUPE CHA ZAIDI CHENYEE NEEMA NDOGO NA KUBWA HUU NI MTIHANI
2026-07-15 08:58:20
5
user8397228702056
chiku :
Sheikh leru jamani.🥲🥲🥲
2026-07-16 04:29:54
1
scuty03
scuty03 :
allah yupo pmj na we kwa wema wako kaka❤️
2026-07-15 12:08:41
2
fairunalhashyy
Fairun Alhashyy :
walid ni mmoja tu
2026-07-15 13:12:05
2
fatmamohamed33901
N@if@ty :
ndani ya ubungo plaza
2026-07-16 03:26:20
1
zainazayumba
leila Zayumba :
Allah!! akupe moyo wasubra utavuka huu mtihani inshaallah
2026-07-15 20:29:08
1
mwajabu.muhammed
vyombo :
mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki inshaallah
2026-07-15 17:21:56
1
noela3290
Na._ca :
Wanakuangusha wanadam Mungu anakupandisha viwango vingine.
2026-07-15 19:38:34
2
rehemafanta
Rayfact :
ALLAH AKUJAALIE SUBRA SHEKH WETU SUBRA ILA SISI BADO MAPENZI YETU YAPO KWAKO
2026-07-15 08:30:28
3
fetty850
fetty hussein :
tupo naww bega kwa bega
2026-07-15 16:33:37
3
user29367030958200
user29367030958200 :
mungu akupe nguvuuu sio rahisi
2026-07-15 11:34:34
4
user7269622601439
Mouna shabani :
❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯 sheikh walidi mungu yupo pamoja nawe baba
2026-07-16 21:30:27
1
mpemba.home.decor
vesso mwaveso :
tunamajonzi mengi sanaa daaa mungu akupa afya njema
2026-07-16 05:12:02
1
To see more videos from user @naarah032, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About