mm niliweka visit vya miaka 5 lkn nikatoka kabla miaka 5 aijafika lkn mpaka sasa hv mwa wa 6 huu cjapata ujauzito
2026-05-28 13:55:40
0
baby girl🫦🫶 :
sasa dada kama nimekaa nacho miaka mitan haraf nimekitoa sijatumia dawa unachelew kipata mimba au
2026-05-29 07:41:57
0
FROM PANGAWE🥰🥰🥰 :
haiumii kuwek kijiti
2026-05-29 09:21:32
0
Flora Mgao :
Sina hamu na uzazi wa mpango😇😇
2026-05-29 08:09:18
0
Angel :
Mimi nilitowa iyo Kisha mwezi moja tu nikabeba ujauzito bila kutumia dawa ata moja
2026-05-29 08:42:35
0
Sarah :
asant mnapatikan wap
2026-05-28 21:22:58
0
princess 🥰 :
mm naitaj.jmn.nimetoa huu mwaka naaa sipat period kwa mpango.kila mwez na tareh yake sina hamuu wauwah nateseka mm ata ukitaka.ujauzit haushik mana mayai.hayakomai🥺🥺🥺
2026-05-28 20:33:09
0
Morjan Oman :
unatoa Kwa shiringi ngapi
2026-05-29 11:15:39
0
Estee :
dada me Nina swali hivi sindano inazuia mimba asilimiaa zote kwel au Nina hofu tu?
2026-05-29 10:32:55
0
Morjan Oman :
na upo mkoa gani
2026-05-29 11:15:57
0
Tinner+255679282874/0744125275 :
🥰🥰🥰
2026-05-28 13:40:23
1
~~two best ~~⚖ :
🥰🥰🥰
2026-05-29 04:34:16
0
Officially.Motherof4Boys.COME :
😁😁😁
2026-05-29 06:04:32
0
Tinner+255679282874/0744125275 :
🤝🤝🤝
2026-05-28 13:40:22
0
To see more videos from user @tinnerhealth, please go to the Tikwm
homepage.