@aliworksofficial: Hapa Zanzibar huwezi kukosa kusikia sehemu inayoitwa Bububu 🚂 Lakini je, ulijua jina “Bububu” linatokana na sauti ya treni ya moshi iliyokuwa ikipita hapa zamani? Wakati sehemu nyingi za Afrika Mashariki bado hazijawahi kuona reli… Zanzibar tayari ilikuwa na treni ya mvuke na tram za mji 🌍 Kutoka Stone Town mpaka Bububu… huu ni moja ya hadithi zilizofichika za Zanzibar. Je, ungepanda treni hiyo kama ingerudi kwa utalii? 👇 #zanzibar #train #trams #steamtrain #reels Zanzibar railway, Bububu train, Zanzibar history, Stone Town, East Africa history, African railways, Sultan Barghash, Zanzibar tourism, hidden history, train history, railway documentary, Zanzibar facts, Africa documentary, steam train, Zanzibar
Ali Hasnein | Content Creator
Region: TZ
Thursday 28 May 2026 15:19:23 GMT
Music
Download
Comments
Iya 🇪🇬 :
Mim najiuliz hii tren ipo wap na kituo chak natak kuiyon🥺
2026-05-29 05:36:18
13
Lee Menez :
mabaki yapo wapi
2026-05-29 05:55:09
7
Darty :
sjbir nikufolw mana nimekupenda
2026-05-29 02:36:58
8
Runith_09🥷 :
Nimekufollow ili nisikilize hizi story tuu🥰
2026-05-28 20:41:24
13
Bint harass :
Ikija hiyo treni ya mwingi sijui km tutakuwepo bado😌
2026-05-28 23:14:30
6
Sami 💀💀 :
watu tunaokaa bububu sikuli tujuwane apa
2026-05-30 08:21:11
11
mubarak _al_ghassani :
Train ya Sultan Barghash ilikuwa kutoka Palace Forodhani hadi Chukwani Palace .Bububu Train ilikuja baadae 1900s
2026-05-28 20:52:45
12
𝔪𝔯𝔰 𝔣𝔞𝔡𝔥𝔦𝔩𝔢𝔱🧸🎀🍫 :
bbb mahome
2026-05-28 21:09:16
5
mpate :
ije tuu
2026-05-29 01:39:56
2
afifaomar14 :
Uwiii
2026-05-29 19:16:42
1
DMX :
Tulipanda sana hii treni
2026-05-31 16:06:56
1
hakuna matata :
ukisikia wa kwanza anakuwa wa mwisho ndio hii sasa
2026-05-29 09:41:34
3
Rahma :
ndio
2026-05-29 12:34:51
1
TUKALOLE :
hii nzuri sana.....
2026-05-28 22:25:21
2
user1225302100080 :
kweli apo!!!!🫶⚘️⚘️⚘️
2026-05-28 22:44:37
2
h.more :
noma
2026-05-29 16:56:04
1
Abass Bakar :
sahih kabbisa kaka
2026-05-29 16:26:06
1
Br20 :
kumbe😁😁
2026-05-29 09:16:13
1
tahir_004 :
tahir
2026-05-29 08:24:00
1
tahir_004 :
z
2026-05-29 08:23:45
1
GOLDEN HEART :
Sasa kbl treni kuwepo pali kuwa panaitwa je???
2026-05-29 10:27:50
0
cute nawar :
ndio nitapanda
2026-05-28 21:04:10
4
مي مي مي :
mashallah very nice
2026-05-28 23:22:36
2
Fitness life :
2026-05-31 08:38:47
1
Maryam Rashid :
Na kwa nn kunaitwa kiboje
2026-05-29 21:32:08
1
To see more videos from user @aliworksofficial, please go to the Tikwm
homepage.