@azoretechtz: Hata wajue password ya WiFi yako, HAWAINGII! ⚡🔒 Umempa mtu password ya WiFi kisha akaanza kuunganisha mtaa mzima? 😒 Huna haja ya kubadili password kila siku. Tumia mfumo wa MAC Filtering (Whitelist) kwenye Router yako (IP: 192.168.1.1) ili kuruhusu vifaa unavyovipitisha wewe tu! Hata mtu awe na password, bila ruhusa yako ataambiwa "Connected without internet." 😂 Hatua zote nimezieleza vizuri kwenye video hii! 👇 📌 Save video hii na u-Follow page yetu kwa dondoo nyingi zaidi za tech kila siku! #TechTips #wifitricks #techtanzania #foryou #techtok