@patrickbuyamb:

PATRICK 💪
PATRICK 💪
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 May 2026 17:57:37 GMT
29597
570
47
22

Music

Download

Comments

yohanachigoji66
Yohana Chigoji :
hahahahahah nachokaa mm
2026-07-26 18:41:12
0
g.clever
G clever :
afadhari hata hio 19 kuna mwezi elf 50 yote ilikatwa na bado nikawa na deni la elf 16 ambalo nitakatwa mwez ujao
2026-07-20 08:06:51
1
prosper.johnsoni
Mr popah :
daa oyaa hlo life ctak kukumbuka aise
2026-06-01 10:02:04
1
twalibhamadjuma114
MAPENGA_4 :
msiwaze askr wang p1 san
2026-07-24 21:32:00
0
king_wolf606
Sacrifice Simon :
ni huzuni kwa kweli😫😫
2026-07-24 12:17:09
0
abdulla.hassan828
Vanchyboy64 :
inauma ankali
2026-06-22 00:18:13
0
josegwang4
g Wang :
naikumbuka sana kamandaa
2026-05-29 05:57:23
0
kamiliusmasawe
Kamilius Masawe :
oya wee sio poa
2026-06-10 15:32:16
0
nlutaja15
Nzozo Lutaja :
bado kofia ya kamanda
2026-07-20 05:37:42
0
baraka.sultan5
Boyka@26 :
Uraia uwo dogo unao ufanya
2026-07-18 06:38:14
0
alp.njigo
Alp Njigo :
sabun ya buku unauziwa buku3 Tena kwa lazima
2026-06-09 17:23:17
0
hadija.kizulwa
Dee baby💗 :
😂😂😂😂 stak kucheka
2026-06-09 18:30:32
0
kisudaisack
kisuda :
Noma sana anakupa posho akuangalii uson so pouwa 😂😂
2026-05-28 18:07:56
0
mtu.wa.mungu2026
MẄAPÖSĂ😂😂... :
ndo maana nilikuwa namsaida sana kipindi ajatoka uko ila baadaye kaniamby HURUMA sio MALEZI 🥹🥹 sipo nae tena😭😭
2026-05-28 20:02:13
0
user1421991316348
William :
pesa haijawai tosha nilikuwa sevisi posho ilikuwa inakutana saizi
2026-06-06 14:22:17
0
allysimon708
Ntakabile jr :
bado chapati wanazouza kwenye kikosi
2026-07-15 17:26:01
0
janie_koller
janie koller :
😅😂umenikumbusha mbali san ili unganishwa kwa miezi mi2 saw na 100k tukapewa 32000
2026-05-29 11:15:28
0
yusuphmagari
yusuph magari :
Poleni sana vijana, endeleeni kuvumilia kama mnavopaswa. Kila lenye mwanzo mwisho wake upo pia. Usikate tamaa, chapa kazi.
2026-06-05 16:41:48
0
me946633
me :
daah kwa heshima kakh noma sanaa kikubwa duaa
2026-07-11 12:01:39
0
elishamangengi
CHANGA ULE BRAND KUBWA🍁👊 :
erass umeyatak mwnyewe usilahumu😄
2026-07-19 17:28:54
1
jackiee0831
jackiee :
😳😳🤔🙆🙆🙆🙆💪💪
2026-05-28 18:25:15
0
robot41196
robot! :
🙏
2026-05-29 04:39:17
0
To see more videos from user @patrickbuyamb, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About