@ibra_carter: Karibu Nasaidia watu kupunguza kitambi na uzito uliopitiliza kupitia program maalum zinazopangwa kulingana na mwili na malengo yako. #weightlossmeal #trending #goviral #explore

ibracarter
ibracarter
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 May 2026 18:18:44 GMT
21985
454
19
59

Music

Download

Comments

femy7036
Femy💫 :
supu ya kabichi ten
2026-05-29 10:08:41
4
nillah_00
⚘️nillah⚘️ :
mayai situmii ..hapo ktk mayai naeka nini?
2026-05-28 22:31:57
3
candy.juice6
Candy 🍭♎️libra :
nimahushuhuda wa hivi vyakula jamani miez mitatu nimetoa kl 10
2026-05-29 08:43:34
2
ys92436
la yseult 🇨🇩♥️ :
wiki moja tu ila tumbo lime pungua🥰👌
2026-06-03 20:40:26
1
rahyma30
Rahyma🌸 :
Sipend mayai sjui kwann
2026-05-29 10:30:26
2
eric_ben2550
Eric_ben255 :
Nanasi🤔💭 si ina sukari sana
2026-05-29 04:41:22
3
mohammedhamad8946
mohammedhamad8946 :
naona skuizi umekua daktari wa vitambi sawa bwana
2026-05-29 15:06:12
0
flower...71
lover❤️💋 :
Unakula sikunzima mara moja
2026-05-29 10:36:32
2
thisischarmy6
Ms Mkumba-dagaa😻😋🦋 :
Ko nile nn
2026-05-29 08:24:35
2
_kalani00
️Jenny💋 :
hivo ndo nnavokulaga ila sikondi😩
2026-05-29 06:31:13
2
To see more videos from user @ibra_carter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About