@user1761438250953: Baraka zako zote zinachukuliwa Mjomba.

Ivan the Don
Ivan the Don
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 May 2026 20:57:22 GMT
35855
1641
71
51

Music

Download

Comments

mrjohn4725
mrjohn4725 :
🤔kijana inaonekana Una Maarifa ya kiroho mengi
2026-05-29 05:29:21
18
user4998148271163
kenn :
it depends on the context of your separation
2026-05-29 19:38:37
4
bgdecormolders
BG DECOR Molders :
blessings 😂..tumepata madharau baadae ya kusaidiwa Wana wa wenyewe
2026-05-29 11:55:08
2
kevoo_cosmetcs
K_Cosmetcs :
mjomba wanadharau sana ase
2026-05-29 06:39:27
2
user19444628406651
mjukuu sabh :
asante kaka
2026-05-29 06:29:57
2
chekitabasamu
Cheki Tabasamu :
ACHA TU HIZO BLESSING NIZIKOSE MAANA SIO KWA YULE MWANAMKE
2026-06-04 20:11:35
5
weka.mawe1
Weka Mawe :
life doesn't work like that
2026-06-01 06:28:45
2
billionairekhadija
. :
sikiza mwamba
2026-05-30 01:07:36
1
kc254ke
KC254KE :
Asante jomba
2026-06-06 14:45:05
1
suzan.samwel17
Mîsojî :
Kwahiyonamimininabarakawatotowafiyangu ambaowanamuitamjombanawaleakwaiyonina balaka
2026-05-29 06:15:43
3
josphat.makumba
Josphat Makumba :
Pamoja
2026-05-29 03:08:37
3
ndiomzee
Laur Tajiri :
watajua wenyewe
2026-06-04 00:05:30
2
stellabanobi255
Stella Banobi255 :
Gudubayiiiiiiii. 👌👌👌
2026-05-29 13:08:59
2
allysaidi34
ally fundi umeme :
💪💪💪nikweli kabisa nakukubali kwailo
2026-06-03 05:19:01
1
bajaydaud
bajay daud :
point ujumbe mzuri
2026-05-29 17:20:51
1
jombi.daudi
Jombi Daudi :
upo sahihi mkuuu💯
2026-05-29 05:01:14
1
baba.anold4
BABA ANOLD :
Asante sana mjomba big up sana mjomba 💪💪
2026-05-29 11:50:00
1
sualencoleca
Suale Ncoleca :
Kweli Mwamba Uko Sahihi sana Mzee
2026-05-29 17:20:29
1
user7747982059840
omega :
Sawa kabisaaaaa
2026-05-29 06:36:53
1
user2192156930581
user2192156930581 :
uko sawa mkuu
2026-05-29 01:14:10
1
g.babatz
G.Babatz :
MJOMBA NIMEJIKUNA HAD MUASHO UMEISHA NMEPAMBANA VYA KUPAMBANA ACHA TUUH HZO BLESSING ZIENDE AS LONG AS ANAMSAIDIA NO MATTER WAT
2026-05-29 16:57:23
2
chizmagaligmail.c
[email protected] :
sio kweli
2026-06-20 18:49:54
0
neziasylviamateng
DARONNE 001 :
Amen amen, mimi ni ushuhuda kwenye ili, niliye zaa nayee, ana ma degreee na kazi piya, Ila aliye niowa Hana izo paper ila Maisha yetu ni kusonga mbele kila kukicha, MUNGU ana Siri zake 🫂❤️
2026-06-13 03:39:29
0
saidkifyasi
SAJULI :
@Masoud_Cholo:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-06-18 19:36:51
0
alikojr16
alikojr16 :
pamoja sana mjomba
2026-05-29 10:48:33
0
To see more videos from user @user1761438250953, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About