Brother unaweza Sana tatizo wabongo wanafki hata ukiwa na kipaji vipi Wana watu wao ambao hawana vipaji ila wanalazimisha kuwaminishia jami kuwa ndio wakali ila ukiwa na talent bila connection watakunyima mpaka airplay na kujifanya hawakuoni
2026-06-12 12:25:04
5
Lameck Sanga :
huyu jamaa yupo wapi
2026-06-12 06:58:41
5
chiry boy :
ngoma kali jamn
2026-06-12 09:33:57
5
Tuyaling enough :
Nimependa hii goma kali... Nataman niwe meneja wako.♥️♥️♥️♥️💯💯💯👍👍👍👍👍
2026-06-12 12:11:39
5
ali :
real hiphop
2026-06-11 18:29:33
1
robertisaiah733 adg :
This is pure talent nimeneja tu hayuko
2026-06-13 10:27:06
5
distaber 254 :
mwamba san g
2026-06-13 18:13:01
1
Noble S19 :
bora angesomaaa bora angesomaaaaaa noma sana broo
2026-06-12 09:55:16
9
John Kifutumo :
oya wanetu tulikua tume miss mzikii wa namna hyoo na so mapenzi mnge kua karibu ninge warecord breee kwangu
2026-06-12 05:26:11
5
KASIDI✅️ :
weeee hapo noma ila chorus bado miyeyusho kidogo.
2026-06-12 09:49:32
7
makoti herbs :
hip-hop ya mwaka ukirekod diamond anakuroga
2026-06-12 11:43:47
6
Emaculata Paulo :
Alipotelea wapi huyu mtu mungu amsaidie anajuwa sana toka kitambo🥰🥰🥰🥰
2026-06-01 05:30:47
6
Omary Habibu :
👏👏👏 ninoma
2026-06-13 05:03:46
1
VILLAGE PRESIDENT :
ikoo wagwaan
2026-06-13 19:14:10
1
To see more videos from user @user9245083283762, please go to the Tikwm
homepage.