Dhaa anaupendo wa kweli na anakataa ubaguzi et uyu sheikh wa ivi sijui vile dhaa me naomba uyu akiludi nisilimishwe na niitwe walid nipo kigoma mjini kata ya mlole veta ni mkristo nasali TAG
2026-07-23 20:03:10
6
Hasfaty Halima :
mashaalla Yan ni shekhee anaekewesha mpka unaelewa mungu amzishie ukubwa wake udhihirike
2026-07-16 21:55:08
34
OMARY JR :
shekhe number one Tanzania
2026-07-22 05:34:13
6
sashuuofficial :
Nakupenda sana shehe walid najifunza mingi kwako
2026-07-18 07:52:14
22
Izkaway :
watu w Dar pambaneni mumrudishe shekh huyu hatokei kama huyu Allah amhifadh
2026-07-24 10:44:50
2
suleimantorres :
wewe mwalimu atakama huna hamuya kuskiliza utaskiliza mungu akuzidishie upeo kama huwo🥰
2026-07-15 06:47:16
18
zanzibarlocation :
talak haisomi kiivo uchukue mfano wa pesa na talak huo uwongo bhan talak ina mising yke kuna busara zake ukitaka utafata usitake utafata mn talak sio sheria za serikal
2026-07-24 19:37:36
0
Dele Ally :
Namkubal sana Shekh walid Allah azid kukupa afya njema na maisha marefu baba 🤲🏽🤲🏽
2026-07-14 18:37:12
17
saidi ali :
Kwaiy hapo shekhe sjaelew kua ukitoa talak3 kwapamoja zinasih au ukitoa talak3 kwapamja hazisih inayokubalik nimoj tu sjaele hapo nielekez tena manak mimi najua tala hua zinatok kwa awamu tofaut tafaut ukitoa 3 mimi najua hpo inayokubalik nimoj tu shekhe?
2026-07-20 10:00:26
2
Azy Nass :
mbona mm sijafaham😳
2026-05-31 00:06:59
6
Awadhi Mbatakule :
uyu shekhe atalisana anajua
2026-07-16 20:58:58
11
chammy de😈❤️ :
nakupenda sana nakuombea uwe miogoni waja watakao igia pepeni naww uwepo kwa uwezo al wahhaab
2026-07-21 09:44:35
4
Nyongoo jr :
huyu ndio sheikh wetu ame nyooka hana kona kona ALLAH atuhufadhie inshaallah
2026-07-19 20:29:03
5
Dusmin Mweu :
sheikh Allah akulinde na akupe nguvu na afiya uzindi kutuelimisha
2026-05-30 11:46:22
9
shante5170 :
takbiir 💯
2026-07-22 07:20:15
3
Musa Shabani :
nakupenda sana sheikh wangu
2026-07-20 05:57:03
3
KABULA SUKWA :
mashaallah ALLAH AKULIPE INSHALLAH SHEKH WALID
2026-07-20 19:18:17
1
hanceshabani :
Duh ila Sheikh Waleed 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Allah amuhifadhi Wallahi
2026-06-02 16:18:50
6
𝕭𝖎𝖌𝖌𝖎𝖊 🦍🥶 :
shekh ndo maan genz wana mpenda 😂😅😅 anajua kuelimish mashaaalllah 🙏🏼🙏🏼
2026-07-17 09:43:18
7
nehemiamdoe210 :
Hivi ndiyo vitu vinavyo mfanya shehe akubalike ktk jamii hatumii nguvu kuubwa kukufahamisha anatumia ilim yake na akusihi ukome na wewe hongela sana🤲
2026-07-20 09:45:11
2
idriss_breezY15🫧 :
Prof. Walid😂😂🔥
2026-07-18 14:41:46
2
Albasakutt :
mashaallah
2026-05-31 12:17:03
3
local chef :
sheikh unapendwa mana unajua kufahamish kutokan na akili zetu😅😅Gen Z
2026-07-17 09:25:40
3
star boy :
alihamdullih
2026-06-04 11:12:23
2
Khadija Massawe :
Allwah akuweke shekh waleed 🥰🥰🥰
2026-07-18 11:53:17
2
To see more videos from user @sikilizamawaidha, please go to the Tikwm
homepage.