@syebo.consult: Una mazuri kibao tu sema hujajua namna ya kuyatambua

Syebo Consult
Syebo Consult
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 29 May 2026 06:46:06 GMT
2849
318
7
11

Music

Download

Comments

nam3d_binah
nam3d_binah :
mimi kila siku nayaona mazuri. kabla ya kulala namshukuru Mungu sana. namwambia asante sana kwa feni nimekula mchana asubh jioni. nimelalia kitanda shuka safi. nimeenda kazn nimerud salama. sijapata taarifa mbaya. sijagombana na mtu. sijamkuzwa mtu nimeshinda siku nzima nafuraha. INSHORT NA MENGI YA KUMSHUKURU KWA NEEMA YA UPENDELEO.
2026-05-29 10:31:28
4
myner_happy08
Happier :
fact
2026-06-04 04:35:27
0
stanthedoer
Stanlenard :
fact
2026-06-03 21:35:01
0
salmakijaji2
Salma Kijaji :
Ila Syebo .... Una nondo sanaa aiseee. Allah akuhifadhi
2026-06-03 19:03:25
0
czb80
Stitch Designx :
Wengi tuna Mazuri ila tunaegemeaa sna kwa Mabaya
2026-05-29 17:13:00
1
godwishjujumen
Godwishjujumen :
kwel kaka
2026-05-29 07:03:33
1
abdul_akidu
ABDUL AKIDU :
🔥🔥
2026-05-31 12:02:04
1
To see more videos from user @syebo.consult, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About