@momadini_: Wanaume wanapenda wake za watu. Wanajenga uadui wa chini kwa chini na wanaume wenzao na kuwa silaha ya kuangamiza asili ya uanaume. Siku dhoruba ikirudi kwako, usitafute mchawi. M-tag rafiki yako aje asome huu ukweli hapa chini. 👇 #wanaume #uhalisia #mahusiano #MoMadini #creatorsearchinsights