@mustafa_td: #congotiktok🇨🇩 #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #followme

mustafa TD⛎
mustafa TD⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 29 May 2026 07:50:04 GMT
435542
21476
1305
5494

Music

Download

Comments

itsmimi6060
OfficiallMimi🍷 :
Hapo kwenye miss world my love
2026-05-29 20:30:58
878
racxotajiri2
꧁👑 ʳᵃᶜˣᵒ ᵗᵃʲⁱʳⁱ ⁴⁵ 👑꧂ :
bwana mtajua wenyewe mimi nacheka bhana😅😅
2026-07-10 13:58:16
139
beatha2580
Beatha seleman :
ata usipo cheka MUNGU ANAANGALIA MOYOO
2026-05-29 18:45:03
661
mtukwao20
Baby winnie❤️ :
Me kusema ukwel nimecheka hapo kwenye miss world
2026-05-29 19:16:27
123
morzha..15
Da morzha collection 🛍️ :
MAMBO MENGINE MNATAKA KUTUPATISHA DHAMBI TU KHAAA🥹🙌🙏
2026-05-30 06:03:21
279
smallboy.34
DARK DON🖤 :
wale ambao hatuja cheka wala hatuja umia like hapa
2026-07-16 08:25:02
38
faithfull.nsajigw
Faithfull Nsajigwa :
we nimbaya kwao na mzuri Kwa mungu ila kitu kingine usitamani Wala kutenda Yale yasiyo mpenda mungu
2026-05-29 11:06:40
152
user34797088352477
@...lucie017💥 :
kuna mda huna mpango wa kucheka ila ukija kwenye comments 🙌🙌 kwishaa habarii😅😅😅
2026-05-30 17:27:27
83
itskirah5
shakirah😋 :
inawezakana everything is possible dear 🥰
2026-05-31 12:09:08
13
crisydevimto
herzilish 🔥🤫 :
wew ni mzr my love hakuna mbaya machoni pa mungu
2026-07-15 10:21:47
12
user7036526668847
Ummy :
mungu si Unaona wanatuchekesha wenyewe
2026-07-09 10:02:17
12
catherinesteven68
Catherine Steven :
hakika binadamu wote n udongo na mungu anaufinyanga vyovyote anavyotaka n kwa mungu sis wote ni sawaaa yaaan tunakuwa n sura moja
2026-05-30 20:04:57
18
deep_waistline
deep_waistline :
Achana na hio ndoto, wewe tayari ni miss world mama🥰
2026-05-30 22:13:16
22
taty79272
taty💗 :
Mungu nisamehee mimi
2026-05-30 07:49:02
13
wanzita.wilfred
Wanzita Wilfred :
amina kwa uwezo wa mungu
2026-05-30 05:56:15
6
frola6401
flora :
akunamtu mbaya duniani kipenzi
2026-05-29 20:47:55
8
softy.131
softy 13 :
mungu amemuumba mwanadamu katika umbile lililo bora
2026-05-29 17:52:59
21
babybee401
BREENAH🤪 :
One day in shaa allah😢
2026-05-31 00:13:32
5
queennah35
Queen🦋naah🦋 :
apoooo sasa kwenye miss ndy unaharibu 😁
2026-06-02 12:53:14
5
alenanziku25
Smart Agro :
ee Mungu nifundishe kunyamazaa
2026-05-29 13:16:58
25
nayomie154
Naomie💜🌸 :
Mungu si unaona mwenyew wanavyo tuchekesha lakini 😌
2026-05-31 10:12:43
34
user7902521112672
It's £$$¥💜💕🔐 :
mimi sjacheka jymn ukwel wa mungu na ananiona 😣😣
2026-05-30 13:24:56
15
To see more videos from user @mustafa_td, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About