@miliki_nyumba_na_viwanja: 🏖️ GOROFA BEACH HOUSE INAUZWA – KIGAMBONI MALAIKA BEACH, DAR ES SALAAM 🏖️ Nyumba ya kifahari sana inauzwa Kigamboni Malaika Beach. Ni sehemu tulivu, salama na nzuri sana kwa kuishi au kufanya uwekezaji wa kisasa. 📍 Nyumba ni ya pili kutoka baharini 📐 Eneo lina ukubwa wa SQM 1,400 📄 Limepimwa na lina Hati Safi ya Wizara ✨ Sifa za nyumba: ✅ Vyumba 4 vya kulala vyote Master ✅ Sebule kubwa ✅ Dining ✅ Jiko la kisasa ✅ Garden nzuri ✅ Parking kubwa ✅ Paving block ✅ Electric Fence ✅ AC tayari ✅ Finishing ya kisasa yenye standard ya hali ya juu sana 💰 Bei: Milioni 700 tu 📌 Mazungumzo yapo kwa mnunuzi serious 🚗 Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit 📞 Call/WhatsApp: +255746407197 #creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment