natamani Dada yng angeona ili 🥺🥺
mana sisi mda wote kugombn
2026-05-29 18:33:12
43
Aysher006 :
May Allah grant you Jannatul al-firdous siz..you were more than a sister to me..I miss you so much,And I love you so much Husna..Allah akulaze mahali pema peponi.. Allahumma Ameen 🙏.
2026-06-02 19:41:11
1
nifer msusi :
sa mbona mi dada angu anaongoza kunisema vibaya😭
2026-05-31 09:46:58
24
Femmy girl 🦋🐾🍾 :
mm nawapenda wadog zang ila wanasema mm nimkali san
2026-05-30 07:59:42
14
user47924927082386 :
Allah amrehemu dada yangu amtilie Nuru katika kaburi lake Amin
isee Mimi dada yangu ni rafiki Hadi watu Huwa hawaamini kama sisi ni ndugu
2026-06-02 05:16:35
4
@DADA :
tusio na dada wa kwanza kuzaliwa na wa mwisho kuzaliwa allah atubaliki
2026-05-29 15:49:10
16
Munah 🥰 :
cyo dada angu walai
2026-05-30 06:31:48
10
Born last love you Mom 🫶🎇 :
Ambao hatuna dada tukutane kwa hapa!!!🤝
2026-05-30 13:27:19
6
Sherry baby :
Natamani dadaangu ungeona hii maana hatuongei mpaka saiv sijui shida nini dada😭
2026-05-30 13:31:09
7
Nanadolls❤️ :
Na ambao hatuna dada😭😭
2026-06-02 23:07:36
1
🌸Hawaa🌸 :
Nampenda sana dadangu Kipenzi changu🥰🥰
2026-05-29 15:56:06
16
Fatuma :
mm napenda sana dada yangu 🥰🥰🥰
2026-06-02 14:45:40
1
hasan :
that is true 🤲🤲🤲🥰🥰thank u Allah for my sister🥰🥰
2026-06-03 17:23:27
0
euge1414 :
my dear sisters
2026-06-03 09:47:23
0
umi fathuma mammy :
love you sister
2026-06-02 17:16:44
0
Mama Ruhayma :
mie ndio mtoto wa kwanza sina hata dada ila mama angu ndio dada angu kipenzi yeye mwenyew ananiita mdogo wangu
2026-05-29 14:16:28
6
Moyern :
SINAA DADAA
2026-05-30 18:27:17
2
LOML :
Mimi Dada Yangu alishatangulia Mbele ya Haki🥺Na Sijawahi tena kuwa na urafiki na mtu mwingine yoyote tokea aondoke yeye kwenye maisha yangu Mungu aendelee kukurehemu Dada Angu Halima🥺🥺🥺🥺
2026-06-03 13:33:16
1
pink mom🩷💞🩷 :
subhannallah mim dada angu mkumbwa akanikata ajili mm sina hela Niko mm peka Na mollah wangu nawatoto wangu allihamudllah 🙏🥹🥹
2026-05-30 07:51:39
3
Nina :
mi sina bahati maana kawapa chuki mpaka watoto wake naeza sema sina dada mimi
2026-05-31 04:07:58
2
mama boyz :
mimi ndio dada sina dada me ndio wa 1 mwanamke
2026-05-30 17:52:29
4
khamisi khamisi :
mmmmh hii hainifai 🥹🥹🥹
2026-06-01 09:03:56
1
To see more videos from user @yacnalhaythamiy, please go to the Tikwm
homepage.