@zulicious7: Replying to @C H I B I kampuni halisi ambazo mara nyingi huajiri madereva wa maroli (including kutoka nje ya EU): ⸻ 🇱🇹 Lithuania * Girteka Logistics 👉 Hii ni kampuni kubwa sana Ulaya, inaajiri madereva wengi wa kimataifa na mara nyingi husaidia training + makazi mwanzo * Hegelmann Group 👉 Wana base Lithuania na Germany, huajiri foreign drivers mara kwa mara ⸻ 🇵🇱 Poland * Raben Group 👉 Kampuni kubwa ya logistics, ina nafasi nyingi za madereva * AsstrA 👉 Wana operations nyingi Ulaya, wakati mwingine hutoa nafasi kwa non-EU ⸻ 🇩🇪 Germany * DHL 👉 Kubwa sana, lakini hapa utahitaji lugha kidogo (German/English) ⸻ 🔑 Namna ya kuapply: * Nenda kwenye website zao (Google jina la kampuni + “careers”) * Au tumia LinkedIn na Indeed * Tafuta: “truck driver”, “CE driver”, “international driver”#tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok #tiktokluxembourg #fyp #goviral

Official zuu
Official zuu
Open In TikTok:
Region: LU
Friday 29 May 2026 11:36:06 GMT
6423
331
17
33

Music

Download

Comments

sule.de.zanzibar
sule de zanzibar :
hapo luxembourg hawa ADEM wanaweza kukusaidia kupata job offer au kupata employers kama una short stay visa ?
2026-06-09 17:09:44
1
mpoki_mp_jm
Mpoki_MP-JM 🇹🇿 :
indeed haifanyi kazi Tz
2026-06-24 10:41:57
1
mary248319
Maren 🥰 :
hi dear ningepwnda kujua jinsi mtu anatengeneza profile ndio Sasa mtu ajieleze
2026-05-29 12:34:31
1
othumonyyusuph
magodoro bora dsm :
mashallh mashallh 💕💕💕💕 Allah akupe hitaji lako
2026-05-29 12:55:02
1
adomugisha
kanguru 🇦🇪 :
dada vipi kuhusu construction inchigani yenye lahisi kupata visa
2026-06-15 18:57:01
0
user8042991252863
said :
dada tupe galama malazi studio chumba kimoja kwa mwezi
2026-06-28 12:41:06
1
shembago6
Shembago :
👍
2026-06-12 06:55:51
1
To see more videos from user @zulicious7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About