@lukestava: Ushawahi kunyimwa kazi ukabaki unajiuliza… “Kwa nini si mimi?” 🤔 Ukweli mchungu ni huu 👇 Watu wengi hawakunyimi kwa sababu huna uwezo… Bali kwa sababu hawaoni thamani yako. Tumelelewa hivi 👇 Shule → tuition → homework → basi. Hakuna aliyekufundisha ujitambue wewe ni nani au una uwezo gani. Nikuulize swali moja 👇 👉 Una skill gani inaweza kukuingizia pesa? Wengi hawajui. Sasa sikiliza vizuri 👇 Kuna kitu kinaitwa NICHE. 👉 Nani unamsaidia 👉 Na tatizo gani unatatua Ukishajua hayo… maisha yanaanza kubadilika. Mfano 👇 • Tech reviewer → unasaidia watu kuchagua bidhaa sahihi • Fashion → unageuza style yako kuwa biashara • Fitness → watu wanavutiwa na nidhamu yako Hakuna kisingizio. Simu tu + mic + tripod = mwanzo wako. Swali ni hili 👇 👉 Uko tayari kujitambua au utaendelea kusubiri ajira? Comment 👉 NICHE Nikuoneshe njia. VAMOSS 🔥#creatorsearchinsights #lukestava #filmmaking #malezi