@eternalinternationalhq: Unajua kuna watu wanaumwa kimya kimya bila hata kujua? Dalili za mabadiliko ya kiwango cha sukari mwilini zinaweza kuwa hizi: kupungua uzito ghafla, vidonda vinavyochelewa kupona, kiu kikubwa, au uchovu usio na sababu. Wengi huzipuuza hadi hali inakuwa mbaya. Usisubiri. Afya bora inaanza kwa kusikiliza mwili wako. Ikiwa una dalili zozote za kutatanisha, usisite kuangalia na kuchukua hatua. Kinga ni bora kuliko tiba. #afya #dalilizahatari #mwiliimara #afyabora #eternalwellness #kingayamwiliamwili

Eternal
Eternal
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 29 May 2026 12:29:40 GMT
704
27
0
15

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @eternalinternationalhq, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About