@mshindo_tv: Moja ya clip ya Club Maarufu jijini Dar es salaam ikionesha Namna Wadada wanavyo cheza Katika maeneo ya club hiyo kwa kuburudisha Watazamaji. kwa hali ya kawaida inaonesha kwa Tanzania Bara Sio kitu cha Ajabu saana, Lakini Kwa Zanzibar Mambo kama haya hayaruhusiwi kabisa kuanzia kwa WANANCHI wenyewe mpaka kwa SEREKALI. Wanapiga vita uchezaji kama huu. #KalamuYaMshimdo