ndio nilimwambia yule dada niamini mimi sababu mimi sio wao! 😂 pia nilisema sipendi drama lakini uhalisiamimi drama king kwa jambo lolote hata kama zuri
😂🙌 ilikua kwa faida yetu sote lakini maana tulifanikiwa ktk urafiki wetu!
kumbe nilikua Manpuleta 😭😭😭😭