mm pia naipendaga sana hyo nyimbo nilishaisaau inaitwaje
2026-05-30 10:59:40
13
hamisa :
bluuu umezeeka jaman😂
2026-05-30 09:54:14
13
MR FRIDAY 👑 :
Nimeamua kuhamia huku maaana Facebook wana nilazimisha ni Type Amen au nife
2026-06-01 14:15:07
8
Magram Aljabry :
hii pia nyimbo
2026-05-29 20:33:10
7
Mahsam :
My fav song
2026-05-29 20:32:09
5
🎀 MAKONDE PURA🎀♥️🇲🇿🇹🇿 :
nimezaliwa uku ukiniona lakini nimezeeka ww bado uko mbichi te amo from mozambique
2026-05-30 15:12:29
5
KITALI👑 :
Mungu anampa anaempenda if your blessed the bless will be upon you Forever,Braza Kher Mr blue aliwahii kupoteza Dira kwenye Career but akarudi na kuwa legendary, nimejifuza MUNGU AKIKUPA watoto wako awawezi wakaokota makopo WATAINUKA NA KUWA WATU WAKUBWA 👊🏾👊🏾