@ryzam_r: Najua una tamani sana kudeka msichana ila ndo hvyo boyfriend wako ana sauti nyororo😅😅😅🫴🏻. . Shot by @MWENYEKITI

RYZAM📸
RYZAM📸
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 29 May 2026 18:12:48 GMT
674673
58843
1277
2138

Music

Download

Comments

marry06marry
Marry :
tulio single tukomenti wapi 😢😢
2026-05-30 07:59:28
602
margaretmwanaki
Maggie Manuel :
love is crazy 🤣🤣
2026-07-15 18:06:49
0
user652202813559l
USENI MATHIEU :
eeeeeeeehhh broth we noma
2026-07-16 12:43:13
0
hancy3259
Mercy Msacky :
wajane wa mapenz habar zenuuu🤗
2026-05-31 16:00:38
684
limestoneke5
Limestone ke :
🤣🤣🤣𝚒𝚕𝚊 𝚌𝚘𝚖𝚖𝚎𝚗𝚝 𝚜𝚎𝚌𝚝𝚒𝚘𝚗 𝚍𝚊𝚊𝚊𝚑𝚑....
2026-07-15 14:43:49
0
user5217023765599
Annie09 :
nilichogundua ni kwamba Mimi na mpenz wangu tunahitaji mpenz🤣
2026-05-30 19:02:23
236
user946782534730
user946782534730 :
mtu nina mpenz lakin sidekezwi nina mpenz mtazamaji
2026-05-30 19:39:19
324
user65242750956838
Nee🍂 :
enzi za uhai wangu🥺🥺🥺
2026-05-31 14:49:03
94
lihna.adrian
Lihna Adrian :
nisiwaone tena kwenye cm yangu
2026-07-07 20:00:02
9
lizzie46356
Pretty💕💖Makueni :
mapenzi inabamba tiktok, jaribu ujionee😂😂😂
2026-06-02 16:27:14
41
user4302096639253
Happiya TZ :
nimegundua furaha yangu IPO kwenye mapenzi ya watu
2026-06-01 14:05:46
75
prisca.elisante
naah😍😍 :
mungu c nilikuomba kama huyu lkn ona sasa umenipa kama mwakinyo kila siku kumfuu humu nfanu 🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-05-29 18:16:58
111
ney.john65
💕SMART 😍 GIRL 🎸 :
nimegundua furaha yangu ni mapenzi ya watu
2026-06-01 12:00:37
42
farajapaulo731
faraja paulo :
wapenzi watazamaji hiiiii🖐
2026-06-05 19:18:09
24
momyassad
Mamuhmoney❤️💰 :
mtumeee 🤣 me mbona ivi siwezagi yani Mimi ni halooooooo eeeh vipi
2026-05-31 19:34:59
39
nizz.vb
Nizz.vb :
Love is sweet when watched on social media
2026-06-18 12:08:43
9
mirry.ka.macha
mirry ka macha comedy :
alf kuna mmi naambiwa GOODNIGHT saa kumi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-09 21:57:40
7
user5254266273061
kilo kilo :
1 najua umeangalia 2 umecheka 😂😁 3 umekuja kusoma comment 4 umeiona na yangu 5 Aya like sasa🥰🥰
2026-06-11 21:36:22
10
mariamomari379
Mariam Omari :
tulio single jaman tujuwan ☺️☺️☺️😊
2026-06-01 16:45:38
8
_honestgal
Lantana🇯🇲🇹🇿 :
hayanihusu
2026-06-01 09:51:34
10
rose.sadayo
Rose Sadayo :
🥺🥺🥺🥺mayatima wa mapenz tunacomment wapi
2026-05-31 22:39:11
7
user10668023027783
mima girl💝💝💝 :
enzi za uhai wanguuu😭😭
2026-05-31 16:38:22
16
emilyjeridah1
Emily wa Malava 🥰🥰 :
Mungu sawa tu😳😏
2026-06-07 19:27:55
6
To see more videos from user @ryzam_r, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About