@dboy.wanted:

D Boy wanted
D Boy wanted
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 30 May 2026 05:04:40 GMT
475178
31146
726
967

Music

Download

Comments

user2068859139544
Jamesmgona :
aliye geuza simu kuangakia gonga like
2026-06-01 16:35:54
271
sakazprincemusic254
Sakaz 🥰🥰 Prince 🫅🫅 :
salute dogo
2026-10-09 08:18:34
1
ma.mkali96
ma.mkali🫦💵🎧 :
wanted melody 🔥🔥🔥 mwanangu sana wakimbize baba god bless you 🎧🎧🎧
2026-05-31 17:33:29
5
solomonjoseph952
Mandweke dj🔥🔥❤️🔥🔥 :
🔥🔥🔥 umeshaachia hii ngoma???
2026-05-30 16:22:53
34
cleverboy449
Wako Jako :
kipaji kinaongea💪
2026-06-06 12:09:26
6
grace27399
miss G :
Kaka umeua umeweza tena na tena
2026-05-30 20:38:18
22
juliusr394
Julius@R :
Jana nilikua na followers 5 Leo wapo 3 nan Kani unfollow 🥺🥹🥹🥹
2026-06-18 22:02:18
14
lucy.antony0
lucy official%% :
mme wangu kumbe umetoa nyimbo na hujanambia🙈😭😭
2026-06-04 09:22:45
8
vicramsumaye4
💵💵Official vicram💵💵🫵✅️ :
kubali san ikitoka un tag bro🙏@suvi jr
2026-05-30 18:19:16
6
missleyla20
miss leyla💞💞 :
kaimba sahh yan ungekuwa karbu ningekupa soda maan iko kwa frij😅😅😅😅
2026-06-02 09:44:30
8
bwamdogo999
BWAMDOGO :
Yani Ngoma inachezeka na inaskilizika na ina ladha unaelewa story na unatamani story iendelee dah saf sana mwanangu..
2026-05-31 06:01:12
11
wwwtiktok.joseph
🤘🤘🌸msela🪷🪷skudu🌺🌺mabomh :
ngoma inaitwaj iyoo
2026-05-31 13:00:26
8
lucaskivenule
Lucas kivenule :
Huu Sasa ndio ubunifu wenye AKILI kubwa. Hongera sana
2026-06-07 04:53:29
10
ramadhani.mayala
Ramadhani Mayala :
Nakubal sana
2026-05-30 19:47:09
5
babysmiles05
Mrs smiles 😃 :
🥰🥰🥰🥰🥰 humu tu kikubwa bit kal
2026-05-31 07:08:11
19
kakabrother0
Kaka brother :
unaweza kijana nyimbo ndo hizi sasa sio kila siku zinaimbwa nyimbo za mapenzi tyu
2026-06-01 11:58:06
12
annayra770
Annery dr✨ :
naomba niwe meneja wako
2026-05-31 08:10:53
7
antiba.ramadhani
Antiba Ramadhani :
nimepemda sana iyo idoa
2026-05-30 17:19:33
6
jennifermageta
Jennifer Mageta :
jaman nyimbo tamu sana jina la wimbo please
2026-06-07 14:06:35
7
imeldaizack375
Imelda Izack :
Jina la wimbo tafadhaliiii🙏
2026-05-31 09:14:17
5
flai..mc.wa.moro
FLAI. MC WA MORO :
vp inaitwaje hii nyimbo
2026-07-13 23:58:36
3
sharkhani.sharkha2
Sharkhani Sharkhani :
wapenziwasingli tumepatamtetezi cio kilasiku DULLA MAKKABILA,DULA MAABILA AMEPATAMPINZANI,APO NIKWAMTAZAMO WANGU
2026-07-28 13:08:19
4
justin.josias1
Justin Josias :
inaitwaje
2026-07-09 06:41:01
0
mrstyga03
🦋🦋MRS TYGA OG🤗💍💍🕊💞💞💞 :
nilikuwa jera leo natoka nakutana na challenge🔥🔥🔥🔥
2026-08-05 11:43:52
1
dunia4430
DUNIA :
polle sana mngu ameteda pika kazi tumekusoma
2026-08-22 14:01:59
2
To see more videos from user @dboy.wanted, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About